Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
"Sema: Mimi si wa kwanza katika Mitume, wala sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu. Mimi nafanya ila kufuata yanayofunuliwa kwangu..."
Ha ha ha..... Msome na hiyo aya hapo juuAcha uongo
Wakati Kuna Firdausi
Daaaaaah....... DangerQur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
Kwa comfidence angalia Yesu anavyowambia wanafunzi wake katika Yohana 14: 1 - 3;Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
Kumfata na kumuamini Yesu ni Raha sana ,pia unakuwa na uhakika na unayemuaminiKwa comfidence angalia Yesu anavyowambia wanafunzi wake katika Yohana 14: 1 - 3;
1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Hakika Yesu ni Bwana wa Mbingu na nchi😂😂😂
Hii ni aya ya Qur’an inayotoka katika Surat Al-Ahqaf (46:9):Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
"Sema: Mimi si wa kwanza katika Mitume, wala sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu. Mimi sifanyi ila kufuata yanayofunuliwa kwangu..."
“Lau ningalijua ghaibu, basi ningalijiwekea manufaa mengi…” (Qur’an 7:188)
(Qur’an 53:3-4)“Wala hasemi kwa matamanio; hayo si chochote ila Wahyi (ufunuo) unayoteremshwa kwake.”
Uzinzi wake ulimsuta mudyHii ni aya ya Qur’an inayotoka katika Surat Al-Ahqaf (46:9):
Mtu anayedai kuwa Mtume “amenawa” au “anakwepa” majukumu ya kiroho au anaonyesha kutojua lolote, hajaisoma aya hii kwa muktadha wake wala kwa uelewa wa kiimani.
Ufafanuzi wa Aya Hii:
1. Mtume anakiri kuwa yeye si wa kwanza:
Hii ni kukumbusha kuwa Uislamu ni muendelezo wa ujumbe wa Mitume waliomtangulia – kama Nuhu, Ibrahim, Musa, na Isa (amani iwe juu yao). Ujumbe huu ni wa umoja wa Mungu na haki.
2. "Sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu":
Hii haimaanishi kwamba Mtume hajui lolote – bali ni dalili ya unyenyekevu mkubwa kwa Mwenyezi Mungu. Mtume (S.A.W) alikuwa na elimu aliyofunuliwa, lakini hakuwa na elimu ya ghaibu (isiyofunuliwa), kama anavyosema Mwenyezi Mungu katika Qur’an:
Hili linafundisha kuwa hata mitume ni binadamu wanaotegemea ufunuo kutoka kwa Allah, si miungu au watu wa kujitukuza.
3. “Mimi hufuata yanayofunuliwa kwangu tu”:
Hili ndilo msingi wa Uislamu – kuwa uongofu wa kweli hauji kwa akili ya mtu au hisia, bali kwa kufuata wahyi (ufunuo wa Mungu). Mtume Muhammad (S.A.W) hakuzua chochote kutoka kwake binafsi:
(Qur’an 53:3-4)
Kitendo cha mtume kupora mke wa Zaid mimi nikaamu kuretadi kabisa...Hii ni aya ya Qur’an inayotoka katika Surat Al-Ahqaf (46:9):
Mtu anayedai kuwa Mtume “amenawa” au “anakwepa” majukumu ya kiroho au anaonyesha kutojua lolote, hajaisoma aya hii kwa muktadha wake wala kwa uelewa wa kiimani.
Ufafanuzi wa Aya Hii:
1. Mtume anakiri kuwa yeye si wa kwanza:
Hii ni kukumbusha kuwa Uislamu ni muendelezo wa ujumbe wa Mitume waliomtangulia – kama Nuhu, Ibrahim, Musa, na Isa (amani iwe juu yao). Ujumbe huu ni wa umoja wa Mungu na haki.
2. "Sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu":
Hii haimaanishi kwamba Mtume hajui lolote – bali ni dalili ya unyenyekevu mkubwa kwa Mwenyezi Mungu. Mtume (S.A.W) alikuwa na elimu aliyofunuliwa, lakini hakuwa na elimu ya ghaibu (isiyofunuliwa), kama anavyosema Mwenyezi Mungu katika Qur’an:
Hili linafundisha kuwa hata mitume ni binadamu wanaotegemea ufunuo kutoka kwa Allah, si miungu au watu wa kujitukuza.
3. “Mimi hufuata yanayofunuliwa kwangu tu”:
Hili ndilo msingi wa Uislamu – kuwa uongofu wa kweli hauji kwa akili ya mtu au hisia, bali kwa kufuata wahyi (ufunuo wa Mungu). Mtume Muhammad (S.A.W) hakuzua chochote kutoka kwake binafsi:
(Qur’an 53:3-4)
Waislamu Maamuma.pole sana.unajua hyo aya alikuwa anawaambia akina nani!?
Hii ndio shida tumesha waambia Quran sio gazeti, wakati hii aya inashuka ni kweli alikuwa hajafunuliwa ila baadae Mungu akamfunulia nini atapata haya sasa kula JIWE hiliQur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9
Hapa ameamua kunawa kuwa hajui lolote ambalo yeye atafanywa na hao wanaomfuata pia nao hajui watafanywa nini siku ya Kiyama. Amenawa hataki nongwa na mtu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ilishuka toka wapi? Muddy alikuwa akibanwa au akiona kina changamoto anashusha aya inayofuta aya inayoleta aya iliyo bora zaidi. Janja janja na utapeli. Hajui yeye na ninyi mtafanywa nini kwa madhambi aliyokuwa nayo.Hii ndio shida tumesha waambia Quran sio gazeti, wakati hii aya inashuka ni kweli alikuwa hajafunuliwa ila baadae Mungu akamfunulia nini atapata haya sasa kula JIWE hili
View attachment 3321583
Ndio maana mnaambiwa Quran ilishuka kidogo kidogo, maana yake kila jambo lilikuwa linahitaji wakati wake, hivi unafikiri watu humu ni mbumbumbu wa kuwadanganya kirahisi? kuwa serious wewe
Surah Al-A'raf (7:188):Hii ndio shida tumesha waambia Quran sio gazeti, wakati hii aya inashuka ni kweli alikuwa hajafunuliwa ila baadae Mungu akamfunulia nini atapata haya sasa kula JIWE hili
View attachment 3321583
Ndio maana mnaambiwa Quran ilishuka kidogo kidogo, maana yake kila jambo lilikuwa linahitaji wakati wake, hivi unafikiri watu humu ni mbumbumbu wa kuwadanganya kirahisi? kuwa serious wewe
"Sema: Siwezi kujiletea manufaa wala madhara ila kwa atakavyo Allah. Na lau kuwa ningelijua ghayb ningelijizidishia mema, wala mabaya yasingelinifikia..."