Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
-
- #21
Surah Al-A'raf (7:188):Tatizo mna viherehere hamsomi mkaelewa ,msijaribu kuichokonowa Qurani mtaumbuka.
Ni wapi ilisemwa kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe ,,,,, Whaaaapi ? iwekwe biblia au Quran ,sasa kama wewe unaona Mtume Muhammadi kakosea basi bibilia ndio imevuruga kabisa na kupigilia msumari ,iyo mistati aya si mnaimbaga kanisani. AAu kanisani kwenye nyimbo wameongezea siku iyo 😀
"Sema: Siwezi kujiletea manufaa wala madhara ila kwa atakavyo Allah. Na lau kuwa ningelijua ghayb ningelijizidishia mema, wala mabaya yasingelinifikia..."
Ukisoma 7:187 utajua alikuwa anaelezea habari za watu kutaka watajiwe siku ya kiama kitu ambacho ni siri ya Mungu mwenyeweSurah Al-A'raf (7:188):
Ana mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.Ukisoma 7:187 utajua alikuwa anaelezea habari za watu kutaka watajiwe siku ya kiama kitu ambacho ni siri ya Mungu mwenyewe
"Sema: Siwezi kujiletea manufaa wala madhara ila kwa atakavyo Allah. Na lau kuwa ningelijua ghayb ningelijizidishia mema, wala mabaya yasingelinifikia..."
Ana mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.Ukisoma 7:187 utajua alikuwa anaelezea habari za watu kutaka watajiwe siku ya kiama kitu ambacho ni siri ya Mungu mwenyewe
"Sema: Siwezi kujiletea manufaa wala madhara ila kwa atakavyo Allah. Na lau kuwa ningelijua ghayb ningelijizidishia mema, wala mabaya yasingelinifikia..."
Hakuna kitabu kimeandikwa kwa siku moja au nabii amesema vitu vyote siku moja, ndio hivyo hivyo kwa Mohamadi na yeye alikuwa analeta ufunuo kwa nyakati husika wala hakuna tatizo lolote, wapi watakwenda Quran 40:40 imesha sema, na bahati nzuri Quran iko wazi mpaka mfano wa hiyo pepo umetajwa, si kila siku mnasema bikra 72 leo hamjui waislamu tunakwenda wapi !!! Mnashangaza sanaaaa 😀🤣🤣🤣🤣🤣 Ilishuka toka wapi? Muddy alikuwa akibanwa au akiona kina changamoto anashusha aya inayofuta aya inayoleta aya iliyo bora zaidi. Janja janja na utapeli. Hajui yeye na ninyi mtafanywa nini kwa madhambi aliyokuwa nayo.
Yule alikuwa binadamu anaweza kufanya baya ila hoja yako imejibiwa kuwa wapi waislamu tutakwenda wapi, Mohamadi hakuwa Mungu, nimewaambia uzi kama hizi uwe unanitag haraka si mnataka majibuAna mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.
Surah Al-A'raf (7:188):
Hoja yako ni mabaya au wapi waislamu watakwenda? binadamu yeyote lazima akubali kuwa anaweza kufanya mabaya kama binadamu, ndio maana kwa ubaya huo waisrael walipatikana kwa mtu na dada yake kuliwa na Yakobo , wakati dunia ina watu kibao wasio nduguAna mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.
Surah Al-A'raf (7:188):
نص الرواية (Kiarabu):Yule alikuwa binadamu anaweza kufanya baya ila hoja yako imejibiwa kuwa wapi waislamu tutakwenda , Mohamadi hakuwa Mungu
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)"كان إذا وُلد الصبي في زمن النبي صلى الله عليه وسلم، فدفعوه إليه ليحنكه، فأُتي بصبي فبصق في فيه، ثم دفع لسانه في فيه، فجعل الصبي يمصه."
“Mtoto mchanga alipokuwa akizaliwa wakati wa Mtume (S.A.W), walikuwa wakimpeleka kwake kwa ajili ya tahnik (kuweka kitu kitamu kwenye fizi). Basi mtoto mmoja akaletwa kwake, Mtume akatema mate mdomoni mwa mtoto, kisha akaingiza ulimi wake mdomoni mwa mtoto, na mtoto akaanza kuunyony
Uislamu sio jambo la mitaani unaatakiwa kuleta kitabu gani na namba ya Hadeeth kwanza kabla hujataka mjadala, hii maana yake mada ya juu imeeleweka barabara sasa unaamia kwengineنص الرواية (Kiarabu):
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)
Tafsiri ya Kiswahili:
1. Surat Al-Ahqaf – 46:9Uislamu sio jambo la mitaani unaatakiwa kuleta kitabu gani na namba ya Hadeeth kwanza kabla hujataka mjadala, hii maana yake mada ya juu imeeleweka barabara sasa unaamia kwengine
Sema: “Mimi si jambo jipya miongoni mwa Mitume. Wala sijui kitakachofanywa kwangu wala kwenu. Mimi siufuati ila ufunuo ninaopewa, wala mimi si chochote ila mwonyaji wa wazi.”
Sema: “Mimi similiki kwa nafsi yangu manufaa wala madhara, ila kwa alivyotaka Mwenyezi Mungu. Na lau ningelijua yaliyofichikana, bila shaka ningelijizidishia mema, wala madhara yasingelinifikia. Mimi si chochote ila mwonyaji na mbashiri kwa watu wanaoamini.”
Kama umelewa usijadiliane na watu, hapa kuna aya yeyote mtume kanyonya mtoto mchanga ulimi? unaruka ruka kama maharage1. Surat Al-Ahqaf – 46:9
2. Surat Al-A’raf – 7:188
u):Kama umelewa usijadiliane na watu, hapa kuna aya yeyote mtume kanyonya mtoto mchanga ulimi? unaruka ruka kama maharage
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)"كان إذا وُلد الصبي في زمن النبي صلى الله عليه وسلم، فدفعوه إليه ليحنكه، فأُتي بصبي فبصق في فيه، ثم دفع لسانه في فيه، فجعل الصبي يمصه."
Click to expand...
“Mtoto mchanga alipokuwa akizaliwa wakati wa Mtume (S.A.W), walikuwa wakimpeleka kwake kwa ajili ya tahnik (kuweka kitu kitamu kwenye fizi). Basi mtoto mmoja akaletwa kwake, Mtume akatema mate mdomoni mwa mtoto, kisha akaingiza ulimi wake mdomoni mwa mtoto, na mtoto akaanza kuunyonya ulimi wa Muhamad
Lete kitabu na namba ya hadeeth hiki sio kijiwe cha kahawau):
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)
Tafsiri ya Kiswahili:
Nimekwambia acha bangi taja kitabu na namba ya hadeeth, uislamu ni dini ya reference sio maneno matupu kama kijiwe cha kahawau):
(المصدر: السيوطي في الخصائص الكبرى)
Tafsiri ya Kiswahili:
Ndiyo, kuna riwaya zinazotajwa katika baadhi ya vitabu vya hadith ambazo zinahusiana na Muhammad kuweka ulimi wake katika kinywa cha mtoto, hasa kuhusu mjukuu wake, Imam Hasan bin Ali.Nimekwambia acha bangi taja kitabu na namba ya hadeeth, uislamu ni dini ya reference sio maneno matupu kama kijiwe cha kahawa
Kondoo huwezi ichalengi Qur'an uwezo wako wa kufikiri uwezidiwa na sisimiziAna mabaya ambayo ameyafanya alishindwa hata kujizuia.
Surah Al-A'raf (7:188):
Sibishani na muisilamu maamuma ambaye amejawa majin tu akili hanaKondoo huwezi ichalengi Qur'an uwezo wako wa kufikiri uwezidiwa na sisimizi
Kondoo umejaa mapepo huwezi elewaSibishani na muisilamu maamuma ambaye amejawa majin tu akili hana