Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mzayuni ameamua kukiwasha sasa. Magaidi wote tumbo joto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona huwawezi ungana nao..Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.
Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo
Taarifa kamili hapo chini
A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.
Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.
The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”
Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Vita siyo rahisi kiasi hiko bruh!Www3
Sasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!Twaafaaa. Huu mziki maamaee umekuwa mnene kwa Allah na mudi yani wameelemewa na kula kona na kuzama chaka.
Acha sasa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS aingilie kati kuwe na amani ya kudumu.
View attachment 3059352
Code 255
Allah alipaswa kuwalinda watu wake
Mungu wenu Yesu yuko alishikwa eti mnakubali 😀 😀Allah alipaswa kuwalinda watu wake
HahahaMungu wenu Yesu yuko alishikwa eti mnakubali 😀 😀
Hahaha nimecheka kwa sautiSasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!
Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
HahahaMbona Yesu alishindwa kujilinda mwenyewe ??
Alikuwa imam wa wapi na nchi gani???Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.
Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.
View attachment 3059289View attachment 3059302
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.Alikuwa imam wa wapi na nchi gani???
Wewe ni dini gani?Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.
Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.
Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.
Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.
Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.
Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.
Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621
Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622
adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Mimi siyo Sunni baasWewe ni dini gani?
Nishajua chaka lako lingine! Na nitamwambia chaliiMimi siyo Sunni baas