Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Ukiona huwawezi ungana nao..
Mwenzao Egypt alishajifunza hataki kabisa kusikia habari za kupigana na Israel maana hapo ni sawa unapigana na USA sasa jichanganye..
 
Hii mbinu ya MOSSAD ya kukimbiza mwizi kimya kimya ni hatari hujui kama kesho ni wewe au la.

Wakati wakina Khamenei wakitangaza kutoa kichapo kikali kwa mu-israel, hao Israel wenyewe ndio kwanza hawana habari wanaendelea na mission zao kama kawaida.

Wanachofanya Israel ni Psychological torture kwa maadui zake.
 
Twaafaaa. Huu mziki maamaee umekuwa mnene kwa Allah na mudi yani wameelemewa na kula kona na kuzama chaka.

Acha sasa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS aingilie kati kuwe na amani ya kudumu.

View attachment 3059352

Code 255
Sasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!

Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
 
Alikuwa imam wa wapi na nchi gani???
 
Alikuwa imam wa wapi na nchi gani???
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.

Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.

Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.

Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.

Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.


Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.


adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
 
Wewe ni dini gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…