Wabongo mnafurahisha sana.
Uone mbali wapi bana weweee!??
Netanyahu amekanusha kuhusika wewe ushahidi wa Israel kuhusika unautoa wapi!?
Just ultering nonsense.
Ukiona huwawezi ungana nao..
Mwenzao Egypt alishajifunza hataki kabisa kusikia habari za kupigana na Israel maana hapo ni sawa unapigana na USA sasa jichanganye..