Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

😇😆😆😆😆
Ile nawaitu raafal hadatha dole la kati Ndani kutwa mara.5 kuanzia utotoni Hadi Hapo ulipo una Linda lililo Baki+mipulizo ya shehetan??🎤

Ulishaungama dhambi zako kwa Padri Shoga ?? Eti wale watakatifu , wengine walikuwa ni mashoga ??
 
Ulishaungama dhambi zako kwa Padri Shoga ?? Eti wale watakatifu , wengine walikuwa ni mashoga ??
Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein
 
Ulishaungama madhambi yako kwa Padri Shoga Masingale ??

Gay Catholic Priest Rev. Bryan Massingale??
 
Wadau hamjamboni nyote?

IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati

Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.

IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.

Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini

A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.

Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.

The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”

Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.

Hapa mtu pekee wa kutoa msaada wa kuwashughulikia walotenda haya ni FaizaFox kama FaizaFox😂😂😂😂
 
Ulishaungama madhambi yako kwa Padri Shoga Masingale ??

Gay Catholic Priest Rev. Bryan Massingale??

Kuhusu nini? Do you attack Zionist or catholism?

Shida yenu wengine mnaukumbatia sana ujinga na kuutumia kuendesha mambo ya dunia hii.

Ndio maana unaona mtu mkubwa lakini hana akili hata chembe.

Na hajui adui yake ni nani kwenye maisha yake. Zionism will completely cause a mess if some of these stupid things don't change.
 
Kwani nilikujibu wewe ?? Umechupia behewa kwa mbele au umejibadilisha id ??
 
Kwani nilikujibu wewe ?? Umechupia behewa kwa mbele au umejibadilisha id ??

Unaposema ukatoliki....inanishangaza. Ila sawa tu.

Kama kuna dini ilihangaika na wayahudi basi ni wakatoliki. Ulizia historia.

Ila vita ya pili ilibadilisha mitazamo mingi sana. Freemasons created all the destructive wars between 18th century to now
 
Inabidi uwaelimishe hawa jamaa, kwani inasikitisha mkatoliki kushabikia zionists
 
Vita siyo rahisi kiasi hiko bruh!

Yaani mjinga mmoja (siyo taifa,raia tu wa kawaida) awe na tuhma za kutengeneza silaha zinazodaiwa kufanya uharibifu kwa taifa lingine leo aje asababishe vita ya dunia,labda vita ya panzi.
Umeongea point, ww3 labda kwenye uchumi ila sio za mitutu ya bunduki. Hayupo aliye tayari hata huyo Irani sio mpumbavu kiasi hicho hawezi kutia mguu kupigana na Israel anajua kitachotokea.
 
YESU KRISTO NI MTUME WA MUNGU.

Sisi WAISLAMU TUNAAMINI , sawa na QUR'AN TUKUFU kwamba BWANA YESU KRISTO [ ISA bin MARIAMU ] alikuwa MTUME wa MWENYEZI MUNGU.

Kama MWENYEZI MUNGU alivyosema katika QUR'AN TUKUFU [ 4:172, 5:76, 61:7 ].

WAKRISTO WANAMPANDISHA YESU KRISTO DARAJA la JUU kuwa MWANA wa MUNGU na MUNGU.

Bado HATUJAELEWA ni kwa MISINGI GANI WAKRISTO WANAMPENDELEA hivi ambapo BIBLIA inaeleza VIZURI SANA kwamba:

Akajibu, akasema #SIKUTUMWA ila kwa KONDOO WALIOPOTEA wa NYUMBA ya ISRAELI.
[ MATHAYO 15:24 ].

2. Na UZIMA wa MILELE ndiyo huu, WAKUJUR wewe, MUNGU wa PEKEE wa KWELI , na YESU KRISTO #ULIYEMTUMA.
[ YOHANA 17:3 ].

3. ... bali YEYE ndiye #ALIYENITUMA. [ YOHANA 8:42 ].

4. ... Bali baba #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 14:24 ].

5. ... WEWE ndiye #ULIYENITUMA.
[ YOHANA 17:8-14, 21-22 ]

6. Mimi #SIWEZI kufanya #NENO_MWENYEWE , kama #NISIKIAVYO ndivyo #NIHUKUMUVYO.

Na HUKUMU yangu ni ya HAKI , kwa sababu #SIYAFUATI mapenzi YANGU mimi, bali mapenzi yake #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 5:30, 6:38, 4:36 ].

Isitoshe SIYO hayo TU , bali INJILI zote ZIMEJAA AYA ZINAZOELEZA kwamba #YESU_ni_MTUME_tu.

ninataja hapa AYA chache tu ZINAZOTHIBITISHA UTUME WA YESU.

MATHAYO 21:46, 21:11, 9:37.

MARKO 9:35,

LUKA 4:43, 24:19.

YOHANA 13:20, 12:44-50, 7:16-17, 6:44, 7:28-33, 8:1618, 26-29, 9:4,19:17, 6:14, 15:22, 16:5,17:21-25, 4:1924-44.

WAKRISTO KUJIFUNZA NJE YA KANISA KUNA MANUFAA MAKUBWA KULIKO NDANI YA KANISA ,SABABU NDANI YA KANISA HUWEZI KUELEZEWA MAMBO KINAGAUBAGA.

NI MPANGO WA SIRI WA KISHETANI KUWAPOTEZA WALIO WENGI MIONGONI MWA WAKRISTO

TUMIA AKILI YAKO HURU ,MACHO YAKO NA NEEMA YAKO YA UZIMA ,KUJIFUNZA ILI UWEZE KUITAFUTA KWELI NA NJIA YA HAKI.
Hiyo khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr
issa sio YESU kama unabisha njoo Uswazi huku wamama wanapandisha maruhani Kwa sana!;
Mtoe Huyo ruhani Kwa Jina la issa kama hakurukia Roho!
 
Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

View attachment 3059289View attachment 3059302
Jinsi ulivyo jikunja angalia usije toa haja kubwa mkuu
 
Hiyo khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr
issa sio YESU kama unabisha njoo Uswazi huku wamama wanapandisha maruhani Kwa sana!;
Mtoe Huyo ruhani Kwa Jina la issa kama hakurukia Roho!
Ruhani wa kutapeliana?Na hatoki mpaka Mtoaji apate shoti moja kwa malaya
 
Amewahi bikra zake!! Mapema MNO

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom