Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
picha wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi habari hawataki kuzisikia.Unavyoongea kana kwamba hiyo Israel haijaguswa na kuumia.
Hivi unajua Israel ina askari 70000 walemavu wa kudumu hadi sasa kulingana na vita ya Hamas na mashambulizi ya Hizbollah!??
Usiwaweke hao Israel kuwa ni special.
Israel ni mtoto mtukutu sana. Na nia yake ni kuichukua ardhi yote ya Palestina. Cha kushangaza, na kitu nisichoelewa, ni hii move ambayo imeanza toka 1947 ya kuhakikisha hakuna Taifa la Israel. Through it, Israel has build a formidable strength which Arabs might take ages to overthrow.Na hata hapa pia naona unatudanganya.
Waarabu sio kama hawataki amani na Israel,wanataka amani sana.
Ila Israel amekua ndio mkiukaji wa hiyo amani tokea 1947.
Ili amani ipatikanike Israel iache uonevu kwa Palestina pia iache kunyakua ardhi za Palestina na pia Palestina itambulike kama taifa huru la kujitegemea sio Occupied territory.
Shida kuu zipo hapo.
Hata hizi vurugu za sasa chanzo sio Oktoba 7 chanzo ni August 23 Israel ilipovamia mashamba ya Palestina na kuyahodhi.
Hivyo Israel iache ubabe wa kipuuzi na Palestina iheshimiwe kama taifa huru.
Hizi habari hawataki kuzisikia.
View: https://x.com/warfareanalysis/status/1819007020844089824?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hakuna move ambayo imeanzishwa ya kuzuia taifa la Israel kaka.Israel ni mtoto mtukutu sana. Na nia yake ni kuichukua ardhi yote ya Palestina. Cha kushangaza, na kitu nisichoelewa, ni hii move ambayo imeanza toka 1947 ya kuhakikisha hakuna Taifa la Israel. Through it, Israel has build a formidable strength which Arabs might take ages to overthrow.
Iran ndio anawadanganya watu ataifanya hiyo kazi
Wakristo wakimpa hadhi ya juu wewe kinachokuuma nini hasa,pambana na shetani wako allah.YESU KRISTO NI MTUME WA MUNGU.
Sisi WAISLAMU TUNAAMINI , sawa na QUR'AN TUKUFU kwamba BWANA YESU KRISTO [ ISA bin MARIAMU ] alikuwa MTUME wa MWENYEZI MUNGU.
Kama MWENYEZI MUNGU alivyosema katika QUR'AN TUKUFU [ 4:172, 5:76, 61:7 ].
WAKRISTO WANAMPANDISHA YESU KRISTO DARAJA la JUU kuwa MWANA wa MUNGU na MUNGU.
Bado HATUJAELEWA ni kwa MISINGI GANI WAKRISTO WANAMPENDELEA hivi ambapo BIBLIA inaeleza VIZURI SANA kwamba:
Akajibu, akasema #SIKUTUMWA ila kwa KONDOO WALIOPOTEA wa NYUMBA ya ISRAELI.
[ MATHAYO 15:24 ].
2. Na UZIMA wa MILELE ndiyo huu, WAKUJUR wewe, MUNGU wa PEKEE wa KWELI , na YESU KRISTO #ULIYEMTUMA.
[ YOHANA 17:3 ].
3. ... bali YEYE ndiye #ALIYENITUMA. [ YOHANA 8:42 ].
4. ... Bali baba #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 14:24 ].
5. ... WEWE ndiye #ULIYENITUMA.
[ YOHANA 17:8-14, 21-22 ]
6. Mimi #SIWEZI kufanya #NENO_MWENYEWE , kama #NISIKIAVYO ndivyo #NIHUKUMUVYO.
Na HUKUMU yangu ni ya HAKI , kwa sababu #SIYAFUATI mapenzi YANGU mimi, bali mapenzi yake #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 5:30, 6:38, 4:36 ].
Isitoshe SIYO hayo TU , bali INJILI zote ZIMEJAA AYA ZINAZOELEZA kwamba #YESU_ni_MTUME_tu.
ninataja hapa AYA chache tu ZINAZOTHIBITISHA UTUME WA YESU.
MATHAYO 21:46, 21:11, 9:37.
MARKO 9:35,
LUKA 4:43, 24:19.
YOHANA 13:20, 12:44-50, 7:16-17, 6:44, 7:28-33, 8:1618, 26-29, 9:4,19:17, 6:14, 15:22, 16:5,17:21-25, 4:1924-44.
WAKRISTO KUJIFUNZA NJE YA KANISA KUNA MANUFAA MAKUBWA KULIKO NDANI YA KANISA ,SABABU NDANI YA KANISA HUWEZI KUELEZEWA MAMBO KINAGAUBAGA.
NI MPANGO WA SIRI WA KISHETANI KUWAPOTEZA WALIO WENGI MIONGONI MWA WAKRISTO
TUMIA AKILI YAKO HURU ,MACHO YAKO NA NEEMA YAKO YA UZIMA ,KUJIFUNZA ILI UWEZE KUITAFUTA KWELI NA NJIA YA HAKI.
Huna jibu la hayo??
Yani hata usipofanya hivyo vyote sijui Google Facebook tiktok kama Osama bado tu wamarekani na Israel watakutoa mavi tu.Unajijua unasakwa na IDF na mbele yake yupo marekani, unafanya fingerprint wakati unasaka passport, bado unasafiria passport, tena unatumia smartphone, unatumia email, unatumia google kusoma vitu, una account Facebook, insta na tiktok, hapo pote haujui kama jamaa wanakua wanakusoma ujinga wako wote kila dakika
Huyo ni very comical humuwezi.Anachoeleza ni tofauti na anachomaanisha.Ana qaul thabeet juu ya viongozi wake.🤣🤣🤣🤣🤣🙏Sasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!
Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
Alikua analia kwenye dua ya Haneeya.Ayatolah mwenyewe anaogopa 😆😁
Wakristo wakimpa hadhi ya juu wewe kinachokuuma nini hasa,pambana na shetani wako allah.
Ulimuona alivyokuwa akiangalia Roof huku akiogopa Drone ya Netanyahu?!😆😁Alikua analia kwenye dua ya Haneeya.
Aliogopa kama ingekua mara paaaap...drone imefika.Fyekelea ndevu na vichwa ngumu wote.Amithabah!😂🙏Ulimuona alivyokuwa akiangalia Roof huku akiogopa Drone ya Netanyahu?!😆😁
Tutakuja kushtuka amebaki FaizaFoxy pekeeSiyo kweli "Mayahudi" si chochote bila Amerika.😂😂😂
Wewe mpunbavu bichwa limevimba sasa unaona sifa kusambaza uwongo hapa Jf , kuanzia sasa sitokujibu kwenye uzushi wako unaonitag maana unaelimishwa bado unakuwa mbishi na kuleta mizaha.Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.
Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.
Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.
Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.
Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.
Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.
Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621
Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622
adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255