Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Na hata hapa pia naona unatudanganya.
Waarabu sio kama hawataki amani na Israel,wanataka amani sana.
Ila Israel amekua ndio mkiukaji wa hiyo amani tokea 1947.
Ili amani ipatikanike Israel iache uonevu kwa Palestina pia iache kunyakua ardhi za Palestina na pia Palestina itambulike kama taifa huru la kujitegemea sio Occupied territory.
Shida kuu zipo hapo.
Hata hizi vurugu za sasa chanzo sio Oktoba 7 chanzo ni August 23 Israel ilipovamia mashamba ya Palestina na kuyahodhi.
Hivyo Israel iache ubabe wa kipuuzi na Palestina iheshimiwe kama taifa huru.
Israel ni mtoto mtukutu sana. Na nia yake ni kuichukua ardhi yote ya Palestina. Cha kushangaza, na kitu nisichoelewa, ni hii move ambayo imeanza toka 1947 ya kuhakikisha hakuna Taifa la Israel. Through it, Israel has build a formidable strength which Arabs might take ages to overthrow.
Iran ndio anawadanganya watu ataifanya hiyo kazi
 
Israel ni mtoto mtukutu sana. Na nia yake ni kuichukua ardhi yote ya Palestina. Cha kushangaza, na kitu nisichoelewa, ni hii move ambayo imeanza toka 1947 ya kuhakikisha hakuna Taifa la Israel. Through it, Israel has build a formidable strength which Arabs might take ages to overthrow.
Iran ndio anawadanganya watu ataifanya hiyo kazi
Hakuna move ambayo imeanzishwa ya kuzuia taifa la Israel kaka.
Unakumbuka Ramani iliyochorwa na Israel na Palestina 1947??
Nchi za kiarabu zilishiriki na zikakubali hiyo mipaka na zikataka Palestina nayo ikubalike kama taifa.
Ila 1948 Israel ikagoma kuitambua Palestina kuwa taifa na kuivamia Gaza.
Hapa waarabu ndipo walipoona UBAYA UBWELA kama hamtaki Palestina iwe taifa basi hata Israel haifai kuwa taifa.
 
YESU KRISTO NI MTUME WA MUNGU.

Sisi WAISLAMU TUNAAMINI , sawa na QUR'AN TUKUFU kwamba BWANA YESU KRISTO [ ISA bin MARIAMU ] alikuwa MTUME wa MWENYEZI MUNGU.

Kama MWENYEZI MUNGU alivyosema katika QUR'AN TUKUFU [ 4:172, 5:76, 61:7 ].

WAKRISTO WANAMPANDISHA YESU KRISTO DARAJA la JUU kuwa MWANA wa MUNGU na MUNGU.

Bado HATUJAELEWA ni kwa MISINGI GANI WAKRISTO WANAMPENDELEA hivi ambapo BIBLIA inaeleza VIZURI SANA kwamba:

Akajibu, akasema #SIKUTUMWA ila kwa KONDOO WALIOPOTEA wa NYUMBA ya ISRAELI.
[ MATHAYO 15:24 ].

2. Na UZIMA wa MILELE ndiyo huu, WAKUJUR wewe, MUNGU wa PEKEE wa KWELI , na YESU KRISTO #ULIYEMTUMA.
[ YOHANA 17:3 ].

3. ... bali YEYE ndiye #ALIYENITUMA. [ YOHANA 8:42 ].

4. ... Bali baba #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 14:24 ].

5. ... WEWE ndiye #ULIYENITUMA.
[ YOHANA 17:8-14, 21-22 ]

6. Mimi #SIWEZI kufanya #NENO_MWENYEWE , kama #NISIKIAVYO ndivyo #NIHUKUMUVYO.

Na HUKUMU yangu ni ya HAKI , kwa sababu #SIYAFUATI mapenzi YANGU mimi, bali mapenzi yake #ALIYENIPELEKA.
[ YOHANA 5:30, 6:38, 4:36 ].

Isitoshe SIYO hayo TU , bali INJILI zote ZIMEJAA AYA ZINAZOELEZA kwamba #YESU_ni_MTUME_tu.

ninataja hapa AYA chache tu ZINAZOTHIBITISHA UTUME WA YESU.

MATHAYO 21:46, 21:11, 9:37.

MARKO 9:35,

LUKA 4:43, 24:19.

YOHANA 13:20, 12:44-50, 7:16-17, 6:44, 7:28-33, 8:1618, 26-29, 9:4,19:17, 6:14, 15:22, 16:5,17:21-25, 4:1924-44.

WAKRISTO KUJIFUNZA NJE YA KANISA KUNA MANUFAA MAKUBWA KULIKO NDANI YA KANISA ,SABABU NDANI YA KANISA HUWEZI KUELEZEWA MAMBO KINAGAUBAGA.

NI MPANGO WA SIRI WA KISHETANI KUWAPOTEZA WALIO WENGI MIONGONI MWA WAKRISTO

TUMIA AKILI YAKO HURU ,MACHO YAKO NA NEEMA YAKO YA UZIMA ,KUJIFUNZA ILI UWEZE KUITAFUTA KWELI NA NJIA YA HAKI.
Wakristo wakimpa hadhi ya juu wewe kinachokuuma nini hasa,pambana na shetani wako allah.
 
Unajijua unasakwa na IDF na mbele yake yupo marekani, unafanya fingerprint wakati unasaka passport, bado unasafiria passport, tena unatumia smartphone, unatumia email, unatumia google kusoma vitu, una account Facebook, insta na tiktok, hapo pote haujui kama jamaa wanakua wanakusoma ujinga wako wote kila dakika
Yani hata usipofanya hivyo vyote sijui Google Facebook tiktok kama Osama bado tu wamarekani na Israel watakutoa mavi tu.
 
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.

Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.

Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.

Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.

Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621


Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622

adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Wewe mpunbavu bichwa limevimba sasa unaona sifa kusambaza uwongo hapa Jf , kuanzia sasa sitokujibu kwenye uzushi wako unaonitag maana unaelimishwa bado unakuwa mbishi na kuleta mizaha.

Makafiri kwa vile mmeifanya dini yenu kuwa mzaha na wewe unahamishia mizaha kwetu kwa kujifanya Mashia damu ? sasa ukinitag nitakuwa napita tu bila reaction yeyote na nashauri wote Wenye akili wakupuuze.
 
Back
Top Bottom