Muhammad alikuwa akipokea Aya kwa kila tukio linalompata. Mungu amrehemu. Tukio la Maria al-Qibtiyya

Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
Inaonesha wazi umeokoteza sehemu si mambo unayajua na hutaki kujifunza.

Ningekupa faida zaidi, ila kwa kuwa umekaza kichwa haya baki na ulichokikopi sehemu.
 
Ila
Mimi ndo nimewahi nafuata nyayo zake. Mimi Muddy ni Role Model wangu. Akishtukiwa issue anashusha aya. Ila alizichakata sana mbususu... Usiniingilie mimi ndo nimewahi namfuata nyayo zake
Ila wabongo bhana eti mbususu
 
Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)

HIVI HUNA KITU KINGINE CHA KUPOST HUMU JUKWAANI ZAIDI YA POST ZA KUUCHAFUA UISLAM TENA KWA KUTUMIA HADITH ZILIZO ANDIKWA MIAKA ZAIDI YA 600 BAADA YA MTUME?
NAKUMBUKA ULISHA AMBIWA HUKO NYUMA KUWA; ZIPO HADITHI NYINGI TU ZILIPENYEZWA NA WATU WALIOKUWA NA NIA OVU YA KUUCHAFUA UISLAM lakini wewe kucha kutwa umekomaa na hadithi!!!
Kumbuka Jamii forum sio jukwaa la Dini japo inaruhusiwa kupost mada za dini lakini unavyo fanya is too much! "Much of anything is harmful"
 
Mnajisikiaje kuikana asili yenu na kupokea asili ya wageni ambayo haiwahusu?

Yaani ili nimjue huyo Allah inabidi nibadili lifestyle yangu na uhalisia wangu kuanzia majina mpaka kuikana asili ya imani yangu na nijifunze lugha mpya ambayo huyo Allah anaipenda au ndiyo lugha pekee anayoielewa ndipo nimuombe huu sio ujinga?.

Ifike mahala waafrika muamke huu upumbavu wa kusujudu takataka zilizopitwa na wakati ufike mwisho.

Haiwezekani mtu na akili zako unaamini ngonjera za mpumbavu mmoja ambaye hata ushahidi wa uwepo wake haupo zaidi ya masimulizi ambayo yanalazimisha kuyaamini au ukaungulie moto jehanamu ambayo haipo wala hakuna mwenye ushahidi wa uwepo wake.

Qurani ni kitabu cha uongo kama ilivyo biblia na takataka zingine za kidini.

Muhammad ni zao la wazungu kuendeleza ukoloni wa kifikra ili kupoteza asili ya ulimwengu.
 
😁

Nadhani ni Kwa kuwa alifanikiwa kuwa na power so Ukiwa na power unaweza kubuni chochote na kukiwekea difference mechanism na watu wakakifuata so si - Wana kuwa Wana kuogopa mfano mdogo ni kama alivyo khemenei Leo hii na wairan wanavyo muogopa
Very smary yule jamaa namkubali sana. Alikuwa anajipigia mapande na kujipakulia minyama kinoma.
 
Mnajisikiaje kuikana asili yenu na kupokea asili ya wageni ambayo haiwahusu?

Yaani ili nimjue huyo Allah inabidi nibadili lifestyle yangu na uhalisia wangu kuanzia majina mpaka kuikana asili ya imani yangu na nijifunze lugha mpya ambayo huyo Allah anaipenda au ndiyo lugha pekee anayoielewa ndipo nimuombe huu sio ujinga?.

Ifike mahala waafrika muamke huu upumbavu wa kusujudu takataka zilizopitwa na wakati ufike mwisho.

Haiwezekani mtu na akili zako unaamini ngonjera za mpumbavu mmoja ambaye hata ushahidi wa uwepo wake haupo zaidi ya masimulizi ambayo yanalazimisha kuyaamini au ukaungulie moto jehanamu ambayo haipo wala hakuna mwenye ushahidi wa uwepo wake.

Qurani ni kitabu cha uongo kama ilivyo biblia na takataka zingine za kidini.

Muhammad ni zao la wazungu kuendeleza ukoloni wa kifikra ili kupoteza asili ya ulimwengu.
Well said 👏👏

Devide and rule ndio hiyo Sasa
 
HIVI HUNA KITU KINGINE CHA KUPOST HUMU JUKWAANI ZAIDI YA POST ZA KUUCHAFUA UISLAM TENA KWA KUTUMIA HADITH ZILIZO ANDIKWA MIAKA ZAIDI YA 600 BAADA YA MTUME?
NAKUMBUKA ULISHA AMBIWA HUKO NYUMA KUWA; ZIPO HADITHI NYINGI TU ZILIPENYEZWA NA WATU WALIOKUWA NA NIA OVU YA KUUCHAFUA UISLAM lakini wewe kucha kutwa umekomaa na hadithi!!!
Kumbuka Jamii forum sio jukwaa la Dini japo inaruhusiwa kupost mada za dini lakini unavyo fanya is too much! "Much of anything is harmful"
Uislamu ukichafuka wewe unapungukiwa nini? Kama hizi dini zenu zina maana zitajitetea zenyewe na sio kutetewa na wafuasi, asili huwa haitetewi inanitetea yenyewe, hivyo suala lolote ambalo halihusiani na ukweli huwa lazima lizue utata na ndipo anguko lake hutokea.

Miaka ya nyuma mada za kuponda dini ilikuwa nadra sana, lkn kwa sasa JF huwezi pita siku bila kuona thread zinazohoji undani wa hizi dini, hili jambo litaendelea hivi na mpaka mitaani watu waanza kuhoji bila kuogopa, what next? Dini zote zitafutika
 
Nimecheka sana kwa huu uongo uliouandika hapa kma huna cha kusema ni bora ukanyamaza tu kuliko kuandika pumba kma hizi

Mm nitakusaidia sababu ya kushushwa aya hio ni kwamba mtume aliiharamisha Asali kisa wakeze hawaipendi ndo sababu kuu ya kushushwa aya iyo

Enyi makafiri mtaenda kuchomwa moto huko mbeleni silimuni kabla hamjafa ohoooo

فقد اختلف المفسرون في سبب نزول أوائل سورة التحريم، والوارد في الصحيحين عن عائشة رضي الله عنها أن النبي صلى الله عليه وسلم :: كان يمكث عند زينب بنت جحش ويشرب عندها عسلاً، فتواصيت أنا وحفصة أن أيتنا دخل عليها النبي صلى الله عليه وسلم فلتقل إني أجد منك ريح مغافير.. أكلت مغافير، فدخل على إحداهما فقالت له ذلك، فقال: لا، بل شربت عسلاً عند زينب بنت جحش ، ولن أعود له، فنزلت:يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَا أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ [التحريم :1]. إلى: إن تتوبا إلى الله لعائشة وحفصة ، وإذ أسر النبي إلى بعض أزواجه حديثاً لقوله: بل شربت عسلاً.:

Acheni ubabaishaji enyi makafiri Uislamu haupotoshwi ivo jipange tena mtoa mada

Wewe Jini kafir acha uongo. Mistari ipo hapo wazi kabisa. Unataka kudanganya wewe maamuma?

Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Mtume (SAW) aliingia kwa Maria al-Qibtiyya katika nyumba ya Hafsa (mmoja wa wake zake), katika siku ambayo ilikuwa ni zamu ya Hafsa. Hafsa aliporudi na kumkuta Mtume akiwa na Maria, alikasirika sana. Mtume akajaribu kumtuliza kwa kumuahidi kuwa hatarudia tena kumuona Maria, na akamwomba atulie na asimwambie mtu.

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
 
Inaonesha wazi umeokoteza sehemu si mambo unayajua na hutaki kujifunza.

Ningekupa faida zaidi, ila kwa kuwa umekaza kichwa haya baki na ulichokikopi sehemu.

Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Mtume (SAW) aliingia kwa Maria al-Qibtiyya katika nyumba ya Hafsa (mmoja wa wake zake), katika siku ambayo ilikuwa ni zamu ya Hafsa. Hafsa aliporudi na kumkuta Mtume akiwa na Maria, alikasirika sana. Mtume akajaribu kumtuliza kwa kumuahidi kuwa hatarudia tena kumuona Maria, na akamwomba atulie na asimwambie mtu.

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
 
HIVI HUNA KITU KINGINE CHA KUPOST HUMU JUKWAANI ZAIDI YA POST ZA KUUCHAFUA UISLAM TENA KWA KUTUMIA HADITH ZILIZO ANDIKWA MIAKA ZAIDI YA 600 BAADA YA MTUME?
NAKUMBUKA ULISHA AMBIWA HUKO NYUMA KUWA; ZIPO HADITHI NYINGI TU ZILIPENYEZWA NA WATU WALIOKUWA NA NIA OVU YA KUUCHAFUA UISLAM lakini wewe kucha kutwa umekomaa na hadithi!!!
Kumbuka Jamii forum sio jukwaa la Dini japo inaruhusiwa kupost mada za dini lakini unavyo fanya is too much! "Much of anything is harmful"

Weweeeee acha uongo. Na ulaghai

Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Mtume (SAW) aliingia kwa Maria al-Qibtiyya katika nyumba ya Hafsa (mmoja wa wake zake), katika siku ambayo ilikuwa ni zamu ya Hafsa. Hafsa aliporudi na kumkuta Mtume akiwa na Maria, alikasirika sana. Mtume akajaribu kumtuliza kwa kumuahidi kuwa hatarudia tena kumuona Maria, na akamwomba atulie na asimwambie mtu.

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
 
Wewe Jini kafir acha uongo. Mistari ipo hapo wazi kabisa. Unataka kudanganya wewe maamuma?

Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
Acha ujinga ww tuletee kwanza tafsiri ya suratu tahriim hlf tuendelee na mjadala
 
Nimecheka sana kwa huu uongo uliouandika hapa kma huna cha kusema ni bora ukanyamaza tu kuliko kuandika pumba kma hizi

Mm nitakusaidia sababu ya kushushwa aya hio ni kwamba mtume aliiharamisha Asali kisa wakeze hawaipendi ndo sababu kuu ya kushushwa aya iyo

Enyi makafiri mtaenda kuchomwa moto huko mbeleni silimuni kabla hamjafa ohoooo

فقد اختلف المفسرون في سبب نزول أوائل سورة التحريم، والوارد في الصحيحين عن عائشة رضي الله عنها أن النبي صلى الله عليه وسلم :: كان يمكث عند زينب بنت جحش ويشرب عندها عسلاً، فتواصيت أنا وحفصة أن أيتنا دخل عليها النبي صلى الله عليه وسلم فلتقل إني أجد منك ريح مغافير.. أكلت مغافير، فدخل على إحداهما فقالت له ذلك، فقال: لا، بل شربت عسلاً عند زينب بنت جحش ، ولن أعود له، فنزلت:يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَا أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ [التحريم :1]. إلى: إن تتوبا إلى الله لعائشة وحفصة ، وإذ أسر النبي إلى بعض أزواجه حديثاً لقوله: بل شربت عسلاً.:

Acheni ubabaishaji enyi makafiri Uislamu haupotoshwi ivo jipange tena mtoa mada
unahangaika na mtu ambae anaweka picha ya muigizaji wa kizungu kanisani kwake halafu anamuita mungu huyo haitaji hata kujibiwa ana haki ya kuhangaika kuusema uislamu maana kwake keshapaona hapafai
 
Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura At-Tahrim (66), aya ya kwanza.

Tukio hilo linavyosimuliwa (kwa mujibu wa riwaya za kihistoria na tafsiri):

Mtume Muhammad (SAW) alipewa kijakazi Maria al-Qibtiyya na mtawala wa Misri, na akawa miongoni mwa wake wa Mtume kwa hadhi ya "surriyya" (yaani kijakazi aliyehalalishwa kwa Mtume). Inasemekana Mtume alimpenda sana Maria, na hata alimzalia mtoto aitwaye Ibrahim.

Katika simulizi zinazotajwa na baadhi ya wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Sa’d, al-Tabari, na katika baadhi ya tafsiri za Qur’an kama ya al-Qurtubi, inaelezwa kuwa:

Hili ndilo tukio linalosemekana kuwa chanzo cha kushuka kwa aya ya kwanza ya Sura ya At-Tahrim:

"Ewe Nabii! Kwa nini unajiharamishia ulichokihalalishiwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka radhi za wake zako? Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwingi wa Rehema."
(Qur’an 66:1)
Acha uzushi, nyie makafiri mbona mnapenda kuzusha urongo, Uislamu ni dini ya haki , mkipenda msipende, and if loving the Prophet is Wrooong, we don't wanna be right
 
Back
Top Bottom