Haule ally
Member
- May 1, 2023
- 13
- 16
Mnabisha na mtu ambaye Hana hata bible iliyoandikwa kwa lugha yake ya asil unakuta mtu anabible ya kiswahili na kiingereza kwa nini usiwe na bible ya lugha yake husika ujue mwenyw siyo kutumia translation mnawaamin hao watu waliotranslate bible kutoka lugha asilia na chakushangaza kujawahi kuona hiyo bible katika lugha yake asili nategemea hawa watu wanaojadil. Wanajua lugha asil ya bible iliwajue ukweli wa mambo siyo kifuata translation ya watu ambao wamekaa na kutraslate kama walikosea katika kutafsil utajuaj maan wao ni binadamu utajuaj ukweli wa mambo kama huna bible katik lugha asilia