Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Kwa hiyo Allah kwenye uwepo wao wako kina Allah wangapi, ambao sio wadhaifu?
Allah yupo mwenyewe

Ila kwa lile neno lililotumika pale ndio maana nikakwambia balagha ilotumika pale

Kijana mwalimu wako ulimtesa sana aseee

Na bila ya shaka ulikua st kayumba yaaani
 
Allah yupo mwenyewe

Ila kwa lile neno lililotumika pale ndio maana nikakwambia balagha ilotumika pale

Kijana mwalimu wako ulimtesa sana aseee

Na bila ya shaka ulikua st kayumba yaaani
Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"

Allah wapo wangapi huko walipo?
 
Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"

Allah wapo wangapi huko walipo?
Ndio maana juu kule nilikwambia kama Allah anatumia balagha ambayo wewe huijui

Balagha nimekutolea mfano wake kule juu bado tu hujaisoma ukaielewa

Kijana kwakukusaidia tumia basi hata Ai ili uweze kupingana na hoja zangu maana pekeako kwa akili yako hoja zangu kubwa
 
Angalia post zangu uku hakuna waislamu wanawezaga kuzijibu

Swali lipo pale pale kwa mujibu wa maneno yako

Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"

Allah wapo wangapi huko walipo?
 
Angalia post zangu uku hakuna waislamu wanawezaga kuzijibu

Swali lipo pale pale kwa mujibu wa maneno yako

Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"

Allah wapo wangapi huko walipo?
Hoja hapo hakuna Allah ni mmoja tu ila hua anatumia plural ya majesty katika kujitambulisha

Mfano rais anapoongea yeye ila husema sisi Watanzania tumefanya kile na kile wakati anaongea pekeake ndio alosema Allah kwa plural ya majesty

Jamaa huna hoja ila una kichwa kigumu tu
 
Mfano rais anapoongea yeye ila husema sisi Watanzania tumefanya kile na kile wakati anaongea pekeake ndio alosema Allah kwa plural ya majesty
Raisi anaposema sisi watanzania anamaaniaha wananchi wote maana kwa mujibu wa maana serekali ni watu ndio maana anasema sisi watanzania

Allah anaposema sisi yupo na nani?
Na anapo sema atachukua mke kutoka kwa sisi ni kina nani atachukua mke
 
Nafunga mjadala
Al-mukheef Bwana Utam

  • Mara asema hana mke
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Akajistukia akasema akitaka mke anachukuwa kutoka jamii yake , yani atachukua mke houris au malaika
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Mara akitaka mtoto atachagua
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
 
Vile vile pia utaona ni mtu mwenye akili nyingi Sana kuwahi kutokea duniani, Mtu yoyote Yule mwenye wafuasi kuanzia billion na kuendelea lazima Tu atakuwa sio kiumbe wa kawaida, kina Krishna sijui budha wanaingia kundi Hili.
 
Ndugu yako katika Imani kasema aya maneno msaidie kufafanua

Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"
Mimi nilikuuliza ukisema nyanya kutoka kwako maana yake ni kuwa wewe ndio nyanya zenyewe?
 
Nafunga mjadala
Al-mukheef Bwana Utam

  • Mara asema hana mke
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Akajistukia akasema akitaka mke anachukuwa kutoka jamii yake , yani atachukua mke houris au malaika
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Mara akitaka mtoto atachagua
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Amesema hana mke ila akitaka angekuwa naye sasa hapo usichoelewa nini?

Kuhusu malaika na huru sijui huo ni uongo wako tu hakuna sehemu amesema hivyo
 
Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).

Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.

Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo

Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)

Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.

Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.

Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.

Mudi aliongeza chumvi
Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
Chai
 
Naona unaendelea kuruka ruka kama bisi kikaangoni

Kuchagua mtoto awe wako hakukufanyi kua mtoto huyo atakua wako hta kama utasema wako

Allah s w kusema hayo nlokwambia kule juu ni kwamba angeamua kua na mtoto angeweza ila hawezi kua na mtoto sababu kua na mtoto ni sifa ya kiumbe hai pia kiumbe anae tegemea

Wenye watoto wote ni viumbe hai na wanategemea Allah s w anajitosheleza hana shida na mtoto wala nini

Yote maswali nimekujibu mfano wa wewe kua na mtoto ni kwamba mtoto alotajwa sio wako ila kama ungeamua kumpata uwezo unao

Ndio alicho sema s w kwamba kama angekua anataka mwana hilo swala kwake sio ishu maana kama aliweza kumuumba angeshindwa nini
Mwanetu kichwa chako kigumu kama jiwe. Mi sijasema Allah anataka mtoto, point ni kwamba hana haja na mtoto sawa, ila Aya 39:4 inasema akitaka anampata. Sasa nikiunganisha ile Aya 6:101 ambayo yenyewe inasema Allah ili apate mtoto ni lazima awe na mke.
Ndo nahitimisha kwa kukuuliza swali simple,
Allah hana mtoto kwa sababu A=hana mke kama Aya 6:101 inavyosema
B=hana mtoto kwa sababu tu hajataka na akitaka anampata tu bila hata kuwa na mke kama inavyosema aya 39:4?
 
Raisi anaposema sisi watanzania anamaaniaha wananchi wote maana kwa mujibu wa maana serekali ni watu ndio maana anasema sisi watanzania

Allah anaposema sisi yupo na nani?
Na anapo sema atachukua mke kutoka kwa sisi ni kina nani atachukua mke
Jamaa yangu ulienda shule kweli 😳hehehehe

Sasa anasemeaje nafsi za wengine huoni kuna muda anasema mambo ambayo chadema ama wengine wanayapinga

Huu mfano hauwezi kuendana na ulolisema (serikali ni watu hili linajulikana ila anaeongea pale ni rais hawaongei watu wote kikawaida sisi hutumika katika wingi au wewe shule ipi uliwahi kusoma ikawa sisi inawakilisha mtu mmoja

Rais alitakiwa aseme mimi na watanzania angeisemea nafsi yake halafu akataja na wengine katika ile hali ya kawaida

Ila kwakua anatumia majesty ya plural ndio anasemea sisi

Kijana nakurudisha tena shule kwanza maana inaonekana hata kiswahili ulipata F

Narudia tena Allah anatumia balagha kwenye Qur’an na anatumia wingi wa majesty sasa naona unazunguka pale pale kijana kwa kukosa hoja

Pia nikakwambia tena kwenye kuchukua mke alitumia tena balagha ya jambo lisilo wezekana kwakua yeye hawezi kua na mke

Shida yako kuelewa huwa changamoto
 
Mwanetu kichwa chako kigumu kama jiwe. Mi sijasema Allah anataka mtoto, point ni kwamba hana haja na mtoto sawa, ila Aya 39:4 inasema akitaka anampata. Sasa nikiunganisha ile Aya 6:101 ambayo yenyewe inasema Allah ili apate mtoto ni lazima awe na mke.
Ndo nahitimisha kwa kukuuliza swali simple,
Allah hana mtoto kwa sababu A=hana mke kama Aya 6:101 inavyosema
B=hana mtoto kwa sababu tu hajataka na akitaka anampata tu bila hata kuwa na mke kama inavyosema aya 39:4?
Wewe ndio una kichwa kigumu na hutaki kuelewa

Nimeelewesha mpaka nimeelewesha tena

Leta aya moja moja twende nayo kama utaelewa

Ukishindwa kuelewa hapo sitakua na namna yakukuelewesha tena ili uelewe
 
Wewe ndio una kichwa kigumu na hutaki kuelewa

Nimeelewesha mpaka nimeelewesha tena

Leta aya moja moja twende nayo kama utaelewa

Ukishindwa kuelewa hapo sitakua na namna yakukuelewesha tena ili uelewe
Moja kati ya 6:101 na 39:4 au unataka tuichambue Aya nyingine kabisa nje na hizi?
 
Msitumie muda mwingi kuwaelewesha watu ambayo hata akil zao ni zetu mtu ilikuwa kazi yake kufikiwha ujumbe hivyo ni maamuzi Yako kuchikua ama kuacha. Ukiona ni uongo tunga zako na wew na lingania update wafuasi Leo hii mtu wa 2026 ndo aje agundue Kuna kutungwa ka akil ipi uliyonayo ambayo hata hisabati tu inakushinda utaweza mambo haya unafikili hawakuwepo watu kama wew wenye kupinga ujumbe na wakawa hawana hoja za msingi uiona Kuna aya imetungwa leta aya Yako tengeneza copy Yako na tafuta wafuasi lingania usubil siku ya mwisho
Ndugu zangu katika Iman acheni kupoteza muda kwa watu kama hawa ambao hawaujui uislam mtu anasoma uislam kwenye ask AI au amawanaongopeana huko mnafikili elimu ya Quran ni kusoma TU mnavyojua tu nyinyi uchukue aya na utafsil unavyotaka wewe hizi Aya zote zimetafsiliwa na mtume s.a.w siyokufuata matamanio ya nafsi yako kuna mambo mengi yakufanya masheikh zangu hawa wameshajua haki ipo wapi ila na ubishana tu unaendelea na mabishano ambayo ambayo hayana maan hayapendezi ninkupoteza muda wakati Kuna ummah unahitajia dawa.
Mhitimishe TU kwamba kama anaona mtume S.A.W katunga hadithi amin hivyo na asubil majibu siku ya qiyama bas.
 
Back
Top Bottom