Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Kwa hiyo Allah aliwadanganya?

Na mke wake na watoto ilikuwaje hawajui walifanyiwa anaefanana kama kwa isa au?

Na kama alikuwepo anaefanana inamaana alikuwa pia anagonga mke wa sulemani
Suleyman alikuwa mfalme hauwezi kumsumbua mfalme akiwa amekaa.
Uenda walikuwa na mashaka lakini hawakurusiwa kuingia chumbani kwake.hyo inawezekana
 
Mke alikaa mwaka haongei na sulemani alafu mtu kakaa kwenye kiti mwaka mzima ?
 
Sio mke alikuwa na wake wengi lakini hawakurusiwa kuingia chumbani kwake.ndo maana nimekwambia ni Moja ya miujiza yake Mungu.
Kumbuka suleyman alikuwa mfalme.ulinzi mkali na maisha ya faragha.chochote kilichopo kwenye Quran si jambo la kutilia shaka maana mungu ndo alimuhadithia mtume kupitia malaika JIBRIL.
Kwanini unatilia mashaka?
 
Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
 
Nawewe andika story kama alizo andika yeye kama rahisi
Yaani mtu hata ukoo wako hawakujui 😁😁😁

Unahisi Mohamed kaandika story mpya?.
Kazibadili.
Ni sawa na ww upewe kichwa cha habar alafu uambiwe utunge story.

Ndio maana story zake zimetokana na biblia.

Labda hujui tu. Ila katika visa vya mitume 24 walioandikwa kwenye Quran .
19 ni wa kwenye Biblia.
Mmoja ni yeye na waliobaki wa watatu ni mitume iliyotokea maeneo pembezoni mwa waarabu..

Now you got the Point.
 
Hakuna sehemu kwenye Quran imesema ALISIMAMA ndo akaanguka.
Mtu akikaa kwenye kiti anaweza kuanguka akiwa ameegemea fimbo.
Haiwezekani mtu kufa akiwa amesimama.
Unaleta tafsiri yako
Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei

Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?

Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake

Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
 
Unahisi Mohamed kaandika story mpya?.
Kazibadili.
Ni sawa na ww upewe kichwa cha habar alafu uambiwe utunge story.

Ndio maana story zake zimetokana na biblia.

Labda hujui tu. Ila katika visa vya mitume 24 walioandikwa kwenye Quran .
19 ni wa kwenye Biblia.
Mmoja ni yeye na waliobaki wa watatu ni mitume iliyotokea maeneo pembezoni mwa waarabu..

Now you got the Point.
Kwahio hizi ndio hoja ulizosema utakuja nazo
Si nilikwambia tokea awali kama hautakuja na hoja ila utakuja na vioja nadhani umeviona sasa vioja vyenyewe
Sasa nawewe tunga story mpya basi kama alivyotunga muhammad s a w
Muhammad katika utunzi wake wa story zake tokea zama hizo mpaka sasa miaka 1400 si kawapa kazi ya kutunga historia kama alotunga yeye
Sasa badala ya kutunga munaishia tu kuchamba umbea hamna mnalolijua🤣
 
Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei

Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?

Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake

Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
Alikuwa kwenye kiti chake Cha kifalme amekaa amegemea fimbo .Kwa mikono na kichwa kainamisha kwenye fimbo katulia kama mtu anayewaza.
Na si jambo la kushangaza watawala wakitulia hawapendi kusumbuliwa.
Ndo maana nimekwambia inawezekana watu wake walimtilia shaka kimya chake lakini walishindwa kumfikia sababu mfalme hasumbuliwi
 
Unadhani wafalme waadilifu wanajilimbikizia tu mimali hovyo hovyo
Na yes alikua na fimbo ya mti kwa sababu mingi kwa mujibu wa waislam wanaume haturuhusiwi kutumia vitu vya dhahabu kama wanawake kwahio ulitegemea kumuona a s akiwa na fimbo ya dhahabu pole
Pia Allah alifanya hivyo kwasbabu kuna somo alitaka kulitoa nandio muujiza wenyewe
Majini waliokua wanamtumikia nabii Suleymani walikua wana muogopa kwahio hata kumsogelea ikawa shida kwao
Pia somo kubwa huu ulikua ujumbe ambao Allah s w alikua anawajuza binaadam kuhusiana na wale majini walokua wanajifanya wanajua mambo ya ghaib kuwaonesha kwamba hawajui lolote maana kama wangekua wanajua kwanini wasijue kama a s alikua tayari kaishafariki
Unatakiwa upigwe msasa kijana uelewe mambo
 
Alikuwa kwenye kiti chake Cha kifalme amekaa amegemea fimbo .Kwa mikono na kichwa kainamisha kwenye fimbo katulia kama mtu anayewaza.
Na si jambo la kushangaza watawala wakitulia hawapendi kusumbuliwa.
Ndo maana nimekwambia inawezekana watu wake walimtilia shaka kimya chake lakini walishindwa kumfikia sababu mfalme hasumbuliwi
Kumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzima

Na kwanini Allah alimfanyia hivyo si angempa tu uhai kwa mwaka mzima?

Hawakumfikia inamaana chakula ilikuwa hawampelekei , hali mwaka mzima na wakawa wanaona sawa tu
 
Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada hapo linashangaza lipi
Utashangaliwa na kutafutwa wewe ambae siku moja ukiwa hujaonekana unajulikana umefichwa na mchepuko🤧
 
Kumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzima

Na kwanini Allah alimfanyia hivyo si angempa tu uhai kwa mwaka mzima?

Hawakumfikia inamaana chakula ilikuwa hawampelekei , hali mwaka mzima na wakawa wanaona sawa tu
Kwanini ukaandika kwa kiswahili si ungeandika tu kwa kigogo
Hili ndio mfano wa swali lako kwa Allah s w
Yaaani Allah kataka iwe alivyo taka na wewe unataka afanye kama unavyotaka wewe
Kijana unaumwa
 
We unasema mwaka mzima.
Kuna watu walilala pangoni miaka 300 na wakaamka wakiwa wale wale.
Kuna mtu alikufa miaka 100na akaamka akawa yule yule na chakula chake hakijaharibika.
HOFU UNAWEKA WEWE NDUGU.
Ila mungu amenyooka kwenye Quran.
Unaambiwa bahari ya Shamu ilichanika mara 2. Ili Wana waisrael wapite hivi ile iliwezekana vipi?
Kwanini ashindwe Kwa suleyman?
 
Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada hapo linashangaza lipi
Utashangaliwa na kutafutwa wewe ambae siku moja ukiwa hujaonekana unajulikana umefichwa na mchepuko🤧
Kwa hiyo wapishi wake walikuwa wanampelekea chakula kwa siri au?

Mwaka mzima yupo kwenye Ibadan?
 
Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada 🤧
Sasa kajitenga wapi wakati alikuwa kakaa kwenye kiti cha mfalme?

Alafu toka lini waislamu mnafanya Ibadan mkiwa mmekaa?
 
Kwanini ukaandika kwa kiswahili si ungeandika tu kwa kigogo
Hili ndio mfano wa swali lako kwa Allah s w
Yaaani Allah kataka iwe alivyo taka na wewe unataka afanye kama unavyotaka wewe
Kijana unaumwa
Hichi kisa Muhammad alikota kwenye stori za watoto za kiyahudi

Ndio maana ni ngumu sana kuaminisha mtu
 
Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).

Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.

Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo

Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)

Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.

Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.

Hii ni kama riwa ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
Dini ya magumashi
 
Back
Top Bottom