Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Kwa mujibu wa maelezo yako haya, umethibitisha Allah ni mwanaume

Na kuna malaika wa kike ndio maana Allah kasema akita anachukua malaika au ma huri
Hakuna aya kama hiyo huu ni uongo
 
Kwa hiyo Allah alikuwa bize kujibizana na wanadamu?
Naona somo limeanza kuingia sasa Safi sana

Allah wala hakubishana na mtu Allah aliwaeka sawa tu ili atakapokuja kuwatia motoni wasije wakaanza kusema wameona

Maana Allah kule anasema hata muadhibu mtu mpaka amletee mjumbe
 
Mwalimu wako alipata shida sana asee 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

Naelewa kwanini walimu wanalilia kuongezewa mishahara

112 ni sura maarufu qulhuwallahu ahad Allah asswamad lamyalid walam yuuulad walam yakunlahu kufuwan ahada (Sura imeisha)

19:90-91 nimekwambia kama sababu ilikua ni kuwajibu makafiri wamakka walosema kwamba malaika ni watoto wa Allah ndio akawajibu hapo juu sasa sijajua wewe hujaelewa wapi

Mfano sasa wewe aje mtu aseme fulani mwanao wewe kusema fulani sio mwanangu ndio sababu ya hio aya sasa ili kuonesha kwamba Allah hana mwana na kusema hivyo ni chukizo kubwa

Haya Allah hana mtoto kwasababu ni wapekee ili uwe na mtoto unahitaji mwenza na sifa ya Allah ni wapekee yaani ni pekee

Sifa nyengine ama sababu Allah ana jitosheleza watu wote wanao hitaji watoto kwasababu eidha wawe na wasaidizi wanapokua wazee ama wakurithi mali zao ama wakuongeza ukoo wakati Allah anajitosheleza kwa kila jambo


39:4 nayo Allah anawaambia makafiri kwamba anajitosheleza na kama angekua anashida na mke na mtoto angeweza kua nao
Mfano wewe leo hii umuone bakhressa ama MO anatembea bila gari sio kwamba hana uwezo wa gari kama akiamua anaweza kua nalo ila hajataka ndio Allah akawaambia makafiri ili kuwapa majibu yao

Mariam kupata mtoto ilikua ni Aya ama dalili za ukubwa ama muujiza kutoka kwa s w

Nenda kamtafute mwanamke asiekua mariam atuletee mtoto asiekua na baba

Bado hujaweza pangauahoja za alqareem
Umerukaruka tu mkuu hujajibu hoja.
Huo mfano wako wa kwenye 19:90-91 hauonyeshi sababu ya Allah kutokuwa na mtoto. Hivi kama kuna mtoto Fulani wanasema ni wangu Kisha mi nikasema sio wangu, hiyo ni sababu ya kwa nini sina mtoto? Kuwa serious japo kidogo kuelewa mambo.

Tukija kwenye 6:101 Allah anasema kabisa hana mtoto kisa hana mke, na ile ya 39:4 Allah anasema anaweza kuwa na mtoto hata bila mke. Hapo unaelewa mkuu ama vipi?
112 imetoa sababu ya kwa nini Allah hana mwana?
Kuzaa ama kuzaliwa sio hoja ninayouliza, kwa sababu hata kwenye Biblia ambapo Mungu ana Wana hajazaa wala hajazaliwa alichokifanya ni kama kwenye hiyo 39:4 aliamua tu kuchagua akasema huyu ni mwanangu mpendwa.
 
Ni wapi Allah alisema kaumba moto kutokana na maji ?

Alafu umekwepa maswali yangu

Umesema binadamu ndio akatengeneza moto, ukasema binadamu katokana na maji kwa hiyo moto umetokana na maji
Elezea kwa kina maji mpaka yakawa moto
Hamna swali lako lolote nililo liruka labda tu uwe hujui kuelewa
 
Kwa mujibu wa maelezo yako haya, umethibitisha Allah ni mwanaume

Na kuna malaika wa kike ndio maana Allah kasema akita anachukua malaika au ma huri
Kwani malaika wana jinsia gani???
 
Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).

Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.

Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo

Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)

Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.

Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.

Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.

Kijana , kabla hujaita simulizi la Suleiman ubunifu wa Mtume Muhammad (SAW), hebu fungua Biblia yako.

  1. Suleiman na hekima: 1 Wafalme 4:29-34 inaeleza jinsi Mungu alivyompa Suleiman hekima kubwa na uelewa wa mimea na wanyama.
  2. Ufalme wa Sheba: 1 Wafalme 10:1-13 inaeleza habari za Malkia wa Sheba aliyekwenda kumtembelea Suleiman baada ya kusikia hekima yake.
  3. Upepo: 1 Wafalme 19:11-12 inaeleza upepo mkali, ingawa haizungumzii Suleiman kuutawala. Hivyo si kila simulizi la upepo lina maana ileile.
  4. Kifo cha Suleiman: 1 Wafalme 11:43 inasema Suleiman alikufa na akazikwa katika mji wa Daudi. Lakini Qur'an 34:14 ndiyo inayosimulia wazi kwamba majini hawakujua kuhusu kifo chake mpaka alipoanguka.
  5. Kiti cha enzi cha Malkia wa Sheba: Qur'an 27:38-40 inaeleza kuletwa kwa kiti hicho kwa muda mfupi. Hili ni simulizi la Qur'an ambalo Biblia haisimulii kwa namna hiyo.
Kwa hiyo, usikimbilie kusema Mtume Muhammad alikuwa anatunga hadithi. Simulizi za Suleiman zina msingi katika maandiko ya Biblia pia, ingawa Qur'an inaongeza maelezo yake.

Na swali langu kwako ni hili: Kama unakubali kwamba Suleiman alikuwa na hekima aliyopewa na Mungu, kwa nini uwezekano wa Mungu kumpa uwezo mwingine wa kimiujiza unakuwa jambo la kuchekesha unapoisoma katika Qur'an?
 
Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei

Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?

Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake

Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?

Kijana, unauliza maswali mengi lakini unachanganya mambo yawe kana kwamba ni lazima yawe na majibu yanayofanana na mawazo yako.

Qur'an 34:14 inasema Suleiman alikufa akiwa ameegemea fimbo yake, na majini hawakugundua kifo chake mpaka mchwa alipokula fimbo na akaanguka. Haisemi kwamba alikaa mwaka mzima akiwa hai bila kuongea.

Kuhusu macho yake, Qur'an haisemi kama yalikuwa yamefungwa au wazi. Hivyo hatupaswi kuongeza maelezo ambayo hayapo kwenye maandiko.

Kuhusu fimbo, Biblia yenyewe inaitaja fimbo kama ishara ya mamlaka na matumizi ya kiroho. Soma Kutoka 4:2-4 na Kutoka 14:16. Kwa hiyo, kuwa mfalme hakumaanishi mtu hawezi kutumia fimbo.

Na jambo la msingi: Biblia pia inasimulia miujiza na matendo ya Mungu ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuyaeleza kwa uzoefu wa kawaida.

Kama unaijadili Qur'an, jadili kilichoandikwa ndani yake, si mambo unayoyabuni kisha uyapinge. Tuwe na mjadala wa maandiko, si kejeli.
 
Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).

Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.

Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo

Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)

Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.

Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.

Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
wewe shoga unashida sana.mbegu za wanaume ulinzo mwagiwa zishaakula ubongo wako
 
Back
Top Bottom