Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Mtume Anarogwa na Labadi
Mtume anaongea MANENO toka kwa Shetani na hajui
Mtume anabaka katoto ka miaka 9 akiwa Babu la Mika 54
Mtume anaona wake 13 watoto 0 sasa anaoa ili iweje au alikuwa kahanithi?
Mtume anaswalina na Majini si Uchawi thahili kabisa ndio Maana akarogwa
Mtume chinja chinja mwanzilishi wa Islamic State
Mtume anaamrisha mtu akiuacha Uislamu Achinjwe
Eti ni Mtume wa Binadamu na Majini:
Ni mpumbavu pekee atamwamini
Eti Allah anasikia lugha ya Kiarabu tu:
Shenztype
 
Asili ya moto kua ni maji unatokana na kwamba unatengenezwa na mwaanadam ambae asili yake ni maji ila sio kama moto wenyewe umeumbwa kwa maji
Kwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?
Maana kuna viumbe vimeumbwa kwa moto kwa mujibu wa Koran hiyo hiyo

Na unaposema moto asili yake maji maana umetengenezwa na mwanadamu , je unataka kutuambia wakati majini yanaumbwa mwanadamu alikuwepo akatengeneza moto? Ndipo Allah akatumia moto?
 
Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei

Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?

Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake

Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
Mwalimu Nyerere alikuwa Rais. Ile fimbo yake ilikuwa ya chuma?
 
Unapoteza muda kutaka kuukashifu na kuutukana Uislam na Muhammad

Makafiri na wanafiki huko Arabia walifanya kila waliloweza kuuzuia Uislamu. Wasomi na marabbi wa kiyahudi miaka hiyo hapo Makka na Madina walipinga kila aya kwenye Quran na akawapa ufafanuzi wa ukweli walioukataa tu kwa sababu siyo myahudi mwenzao kama vile tu walivyokataa injili ya Yesu

Walimtukana, walimdhihaki na hata kumshambulia kimwili Muhammad ﷺ na kutaka kumuua
Na hapo akiwa na wafuasi wachache hawafiki hata 10
Walimfukuza Makka akahamia Madina akiwa na wafuasi 70 tu

Walidhani kwamba shinikizo na vitisgo lingemaliza Uislamu.

Miaka 1,400 baadaye, leo hii Uislamu bado upo imara ukiwa na wafuasi wapatao bilioni mbili, robo ya wanadamu wote duniani

Ni nini kinachokufanya ufikiri kwamba kelele za leo zitafanikiwa pale waliposhindwa wao?
 
Mwalimu Nyerere alikuwa Rais. Ile fimbo yake ilikuwa ya chuma?
Ilikuwa ya mti, kwa hiyo na sulemani muislamu alikuwa na fimbo ya miti?
Na jumba lake la kifalme chini lilikuwa halina sakafu mpaka mchwa wakapanda
 
Huhitaji kujua kusoma na kuandika kusimulia hadithi za kidini zilizopita na kubumba mpya za kwako kutokana na hadithi zilizopita.
Hata hivyo kuna mjadala kuhusu kama kweli Muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika.
Kipindi alichokuwepo ni kipindi Cha ujinga watu wa maka hawakuwa na elimu yoyote uelewe hilo.
 
Sababu zipo nyingi alizozileta si nimekutajia hapo juu
Ila nitakujibu kwasababu ni kejeli kwa utukufu wake
We mzee, hapa point ninayotaka kukupa ni kukuonyesha vile Aya zinapingana kuhusu kwa nini Allah wenu hana mwana. Nipe Aya moja ambayo inaonyesha sababu ya Mungu wenu kutokuwa na mwana.
Unasema umeitaja; ni wapi umeitaja mbona sijaona?
 
Kwanini alisema hawezi kuwa nawana kwa sababu hana mke? Wakati anajijua hana jinsia

Kwa Nini hakusema Sina mtoto kwasababu Sina mume ?

Na kuna aya nyingine kasema akitaka mke atachukua malaika au huri, na unajua kabisa ma huri ni wanawake wenye macho makubwa na wapo kama jelly fish
Na ma huri ni Moja ya zawadi Allah atawapa wanaume waislamu.
Hehehe mokitiiiiiii
Ndio maana kule juu tulikuelewesha na kukueleza kua haiwezekani kukichallenge hicho kitabu ni mukiache tu na immanent muamue kukifuata kwa kukiamini ama kukikhalifu kwa ubishi wenu na kubisha tu

Alisema hana mwana kuna sababu zilizopelekea aya hio kushuka wakati wa aya hio kuna mayahudi walikua wanasema kwamba s w ana mtoto ama amezaa ndio ikashuka sura hizi hapa

43:19
16:57
9:30
5:17
112

Qur’an

Hizo aya hapo zimeelezea sifa za Allah kuhusiana na kua na mwana (kwamba hana) na nyengine zimeelezea watu wa makka kipindi hiko walivyokua wanasema s w ana mtoto

Kiufupi hizo aya zilishuka kama majibu kwa waliodai kwamba Allah s w ana mtoto wala sii zaidi

Na hio aya ya malaika ndio kama hizo za hapo juu hakusema kama atachukua malaika ili aware bali alikua akiwajibu walosema kama allah ana wajibu makafiri baada ya kusema kua malaika walikua ni wake zake

Kwahio hoja sio Allah bali ni makafiri ndio walianza kusema kwamba Allah ana wake ambao ni malaika hio aya ikaja kama majibu kwao

Bado hujaisoma Qur’an vyema kijana nenda ukadodose dodose ili uje upya

Usisahau kila unapotafuta aya kabla ya kuja huku muulize hata Ai atakusaidia muulize kwanini ilishuka aya hio

Unaweza ukajifunza mambo na kuacha kuja kujidhalilisha huku kwa usio yajua
 
Wewe umesema hakuwa na watu alikuwa na majini tu , utubie alikuwa nao wapi? Na binadamu wengine aliwaacha wapi?
Hehehe kijana bado nakukumbusha huwezi kukichallenge kitabu kitukufu jamaaa

34:14 Qur’an

Kijana Qur’an imekamilika ba huwezi kuichallenge

Ngoja nikupe kwa uchache sasa ujione ulivyo mweupe

Wakati wa utawala wa a s suleiman kulikua na matabaka kwenye nyanja tofauti

Watu-hawa walikua wafanya biashara wanajeshi mawaziri (walikua wanaishi mijini huko kwenu ni posta masaki nyamala nk)

Majini -hawa walikua wanahusika na kufanya kazi ngumu ikiwemo hio ya kulima ndio maana wakati linatokea tukio hilo binaadam hawakujua maana hawakuwepo

Na a s suleiman alikua kakaa zake kwenye mihrab anaendelea na ibada zake nk (hii ilikua kawaida kwake)

Ushauri mie sijui kabisa kulinganisha na wajuzi wa Qur’an ila nakushauri nenda kasome tena ingawaje najua hutaweza kuichallenge Qur’an
 
Kwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?
Maana kuna viumbe vimeumbwa kwa moto kwa mujibu wa Koran hiyo hiyo

Na unaposema moto asili yake maji maana umetengenezwa na mwanadamu , je unataka kutuambia wakati majini yanaumbwa mwanadamu alikuwepo akatengeneza moto? Ndipo Allah akatumia moto?
Daaah

Mwalimu wako alipata shida sana sana zaidi ya sana

Kitu pekee kilichokuepo kabla ya kila kitu kilikua ni maji

Na kupitia haya Mahi ndio vikatokea kila kitu

Mfano karatasi inatoka na mti na mti unatokana na mbegu kwahio hapa ulitengeneza simu ikatokana na karatasi bado itakua simu imetokana na mbegu sababu mbegu ndio ilizalisha mti mti ukatoa mbao mbao ilitumikua kutengeneza karatasi karatasi ilotumika kutengeneza simu ila chimbuko la vyote vilivyopita hapa mpaka kuja kupatikana simu ilikua ni mbegu
 
We mzee, hapa point ninayotaka kukupa ni kukuonyesha vile Aya zinapingana kuhusu kwa nini Allah wenu hana mwana. Nipe Aya moja ambayo inaonyesha sababu ya Mungu wenu kutokuwa na mwana.
Unasema umeitaja; ni wapi umeitaja mbona sijaona?
Sababu zipo nyingi zaidi ya sana kijana na nilikupa
6:101
112
19:90-91

Ila hizo hapo Sababu kadhaa
 
Sababu zipo nyingi zaidi ya sana kijana na nilikupa
6:101
112
19:90-91

Ila hizo hapo Sababu kadhaa
_19:90-91 hakuna sababu hapo ya Allah kutokuwa na mwana ila imeeleza Hali inayotokea baada ya kusema ana mwana
_112, hii hujaiweka vizuri, kwa hiyo haieleweki umelenga nini.
_6:101
"Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu."

Hapa sasa ndo tuijadili hii maana ndo imeweka sababu. Sababu aliyoitoa Allah wenu hapa ni kwamba hana mke ndio maana hana mwana.
Kulingana na hii Aya inaonyesha kuwa Allah hana kabisa uwezo wa kupata mwana hadi awe na mke kwanza, anashindwa hata na Mariam aliweza kupata mtoto bila mume.
Sasa chukua hii 39:4
Allah hapa anasema anaweza kupata mwana hata bila mke. Anateua tu mmoja wa waja wake anamfanya anakuwa mwanae. Hiyo ni sawa na Biblia ambapo Yehova aliamua tu kumteua Yesu na kuwa mwanaye bila kuwa na mke.

Kwa hiyo sasa Aya 6:101 inasema Allah hawezi kuwa na mtoto bila mke, Aya 39:4 inasema Allah anaweza kuwa na mtoto hata bila mke.
Umeona kupingana hapo?
 
Mwalimu wako alipata shida sana asee 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

Naelewa kwanini walimu wanalilia kuongezewa mishahara

112 ni sura maarufu qulhuwallahu ahad Allah asswamad lamyalid walam yuuulad walam yakunlahu kufuwan ahada (Sura imeisha)

19:90-91 nimekwambia kama sababu ilikua ni kuwajibu makafiri wamakka walosema kwamba malaika ni watoto wa Allah ndio akawajibu hapo juu sasa sijajua wewe hujaelewa wapi

Mfano sasa wewe aje mtu aseme fulani mwanao wewe kusema fulani sio mwanangu ndio sababu ya hio aya sasa ili kuonesha kwamba Allah hana mwana na kusema hivyo ni chukizo kubwa

Haya Allah hana mtoto kwasababu ni wapekee ili uwe na mtoto unahitaji mwenza na sifa ya Allah ni wapekee yaani ni pekee

Sifa nyengine ama sababu Allah ana jitosheleza watu wote wanao hitaji watoto kwasababu eidha wawe na wasaidizi wanapokua wazee ama wakurithi mali zao ama wakuongeza ukoo wakati Allah anajitosheleza kwa kila jambo

39:4 nayo Allah anawaambia makafiri kwamba anajitosheleza na kama angekua anashida na mke na mtoto angeweza kua nao
Mfano wewe leo hii umuone bakhressa ama MO anatembea bila gari sio kwamba hana uwezo wa gari kama akiamua anaweza kua nalo ila hajataka ndio Allah akawaambia makafiri ili kuwapa majibu yao

Mariam kupata mtoto ilikua ni Aya ama dalili za ukubwa ama muujiza kutoka kwa s w

Nenda kamtafute mwanamke asiekua mariam atuletee mtoto asiekua na baba

Bado hujaweza pangauahoja za alqareem
 
Bro. Hujui hata huo uislam wenyewe.

kwasababu hiyo Quran unayoisema imecopy visa ambavyo viko kwa Biblia.
Mitume 19 wa Biblia.
Hakuna muujiza wowote wa Huyo jamaa yenu.

Ni normal tu guy. Ndio maana wajanja hawawez babaika nae.
Ila kama akili zikiwa finyu utamuamini.
Hujataka kusoma historia ya maisha ya Mtume Muhammad kutokana na kiburi chako tu na hii ndio sababu ya watu wengi watakaingia motoni. Bado una chance ya kuutafuta ukweli na kuujua before it is too late.

Hutakuwa na wa kumlaumu siku hiyo ya Qiyama isipokuwa nafsi yako mwenyewe.

Kutokana na hicho kiburi na chuki zako hata kama ukisoma na kuona kuwa Mtume Muhammad (pbuh) alitenda miujiza mingi kwa uwezo wa Mungu bado hutoamini sanasana utaleta kejeli tu kama waliokufuru kabla yako ambao walishuhudia hiyo miujiza kwa macho yao ila waliikanusha
 
Kwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?
Maana kuna viumbe vimeumbwa kwa moto kwa mujibu wa Koran hiyo hiyo

Na unaposema moto asili yake maji maana umetengenezwa na mwanadamu , je unataka kutuambia wakati majini yanaumbwa mwanadamu alikuwepo akatengeneza moto? Ndipo Allah akatumia moto?
Ukiachana na moto unajua nini kingine majini waliumbiwa?
 
Hehehe mokitiiiiiii
Ndio maana kule juu tulikuelewesha na kukueleza kua haiwezekani kukichallenge hicho kitabu ni mukiache tu na immanent muamue kukifuata kwa kukiamini ama kukikhalifu kwa ubishi wenu na kubisha tu

Alisema hana mwana kuna sababu zilizopelekea aya hio kushuka wakati wa aya hio kuna mayahudi walikua wanasema kwamba s w ana mtoto ama amezaa ndio ikashuka sura hizi hapa

43:19
16:57
9:30
5:17
112

Qur’an

Hizo aya hapo zimeelezea sifa za Allah kuhusiana na kua na mwana (kwamba hana) na nyengine zimeelezea watu wa makka kipindi hiko walivyokua wanasema s w ana mtoto

Kiufupi hizo aya zilishuka kama majibu kwa waliodai kwamba Allah s w ana mtoto wala sii zaidi

Na hio aya ya malaika ndio kama hizo za hapo juu hakusema kama atachukua malaika ili aware bali alikua akiwajibu walosema kama allah ana wajibu makafiri baada ya kusema kua malaika walikua ni wake zake

Kwahio hoja sio Allah bali ni makafiri ndio walianza kusema kwamba Allah ana wake ambao ni malaika hio aya ikaja kama majibu kwao

Bado hujaisoma Qur’an vyema kijana nenda ukadodose dodose ili uje upya

Usisahau kila unapotafuta aya kabla ya kuja huku muulize hata Ai atakusaidia muulize kwanini ilishuka aya hio

Unaweza ukajifunza mambo na kuacha kuja kujidhalilisha huku kwa usio yajua
Kwa hiyo Allah alikuwa bize kujibizana na wanadamu?
 
Daaah

Mwalimu wako alipata shida sana sana zaidi ya sana

Kitu pekee kilichokuepo kabla ya kila kitu kilikua ni maji

Na kupitia haya Mahi ndio vikatokea kila kitu

Mfano karatasi inatoka na mti na mti unatokana na mbegu kwahio hapa ulitengeneza simu ikatokana na karatasi bado itakua simu imetokana na mbegu sababu mbegu ndio ilizalisha mti mti ukatoa mbao mbao ilitumikua kutengeneza karatasi karatasi ilotumika kutengeneza simu ila chimbuko la vyote vilivyopita hapa mpaka kuja kupatikana simu ilikua ni mbegu
Ni wapi Allah alisema kaumba moto kutokana na maji ?

Alafu umekwepa maswali yangu

Umesema binadamu ndio akatengeneza moto, ukasema binadamu katokana na maji kwa hiyo moto umetokana na maji
Elezea kwa kina maji mpaka yakawa moto
 
39:4 nayo Allah anawaambia makafiri kwamba anajitosheleza na kama angekua anashida na mke na mtoto angeweza kua nao
Kwa mujibu wa maelezo yako haya, umethibitisha Allah ni mwanaume

Na kuna malaika wa kike ndio maana Allah kasema akita anachukua malaika au ma huri
 
Back
Top Bottom