😁😁😁
Sasa kama munaojiita wajanja hamubabaiki nae munakua munapingana nae kwa nini sasa na hawababaishi
Mungemuacha tu kwakua kakopi na kupaste tu story za watu maana yake hana madhara si kakopi vya watu hatishi😁
Ila kutwa kucha ndio kama hivi munazidi kumuundia nyuzi za jf munaamua kumchamba yaaani 🤣🤣🤣
Yaani mbele ya watu hatishi ila mukikaa huko tunajua hamulali mukakoroma😆😆
Sasa wewe unaeujua umeujua kwenye kipengele kipi?
Sasa kama kakopi na kupest si ndio mungemchunia tu kwanza kakopi story za watu maana yake hajui lolote lile
Hatishi ila kutwa kuchwa ndio kama hivi munaanzisha nyuzi munaamua kumchamba🤣🤣🤣
Yaani munaanzisha nyuzi za kumchamba mtu ambae hatishi hii inakaaje
Mbona hamujawahi kuanzisha hata nyuzi mukaanza kumchamba
Bwana Utam ila nyie kutwa kuchwa na mtu asie tisha
Poleni sana kwa kwenye comments zako tu inaonesha mwamba anavyotisha
Mpaka munaamua kumchamba yaani hehehe