Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sababu zipo nyingi alizozileta si nimekutajia hapo juuLete sababu aliyoitoa yeye Allah kutoka kwenye Quran kwanini hana mwana?
Ila nitakujibu kwasababu ni kejeli kwa utukufu wake
Sababu zipo nyingi alizozileta si nimekutajia hapo juuLete sababu aliyoitoa yeye Allah kutoka kwenye Quran kwanini hana mwana?
Sulemani kufa na kakaa kwenye kiti mwaka mzima , hapewi chakula haendi chooni ata kukojoa haongei na mtuWewe ni mbumbu hizo habari za nabii Suleiman zipo katika vitabu vya Apoklifa vitabu ambavyo wajanja wenu waliyokuleteeni ukiristo wamevificha Ili msivisome
Na kazi Moja wapo ya Qurani ni kufichua Maneno ya Mungu ambayo makafiri wenzako wameyaficha
Alisema hana mwana kwa sababu hana mkeSababu zipo nyingi alizozileta si nimekutajia hapo juu
Ila nitakujibu kwasababu ni kejeli kwa utukufu wake
Kua na adabu dogoKila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).
Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.
Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo
Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)
Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.
Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.
Hii ni kama riwa ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
Unayoyasema hayajajibu maswali yangu hata tonetatizo unaleta imaginations zako za haww marais wa leo kulinganisha na mfalme. Ni vile labda sisi hatuna tawala za kifalme ila haya mambo ambayo Allah amemsimulia mtune kupitia malaika Jibril ni mambo ya ndani kabisa katika ufalme wa Sulayman ambayo watu wengi wa nje walikuwa hawayajui.
Suleymani ibn Dawood (a.s) alipewa ufalme ambao hatatokea mwanadamu mwengine kupewa mpaka dunia inakwisha.
1- Alipewa uwezo wa kuongea na kufahamu lugha za wanadamu ,majini,ndege na wadudu.
2- Alipewa Elimu,Hekima na uwezo mkubwa wa kuhukumu kwa haki.
3- Alipewa mali nyingi
4-Kutiishwa kwa upepo ili uweze kumsaidia kusafiri safari za masafa marefu yaliyochukua mwezi mzima ,yeye aliweza kusafiri kwa masaa machache tu.
5- Kutiishwa kwa majini ili wamtumikie na wale wakaidi (mashetani) alipewa mamlaka ya kuwahukumu na kuwaadhibu. Majini walifanya kazi ya kumjengea majumba makubwa, vyombo vikubwa vya kuhifadhia maji, walikuwa wazamiaji waliozama katika vina virefu vya bahari kwenda kumtafutia madini mbalimbali kama vile lulu.
6- Alipewa chemchem ya madini ya Shaba iliyokuwa ikitiririka kama mto...ambapo alitumia kutengenezea vifaa na silaha za kivita katika ufalme wake.
7-Alipewa Jeshi kubwa na lenye nguvu lililojumuisha wanadamu,majini na ndege.
Kwa mujibu wa Koran malaika na majini yametokana na maji?7.Kila kitu kiumbe hai hutokana na maji
Binadamu waliomzunguka Allah alikuwa anawajuza Nini ? Maana na wao wamekaa mwaka mzima mtu hali chakula na Wala haendi chooni na haongeiPia somo kubwa huu ulikua ujumbe ambao Allah s w alikua anawajuza binaadam kuhusiana na wale majini walokua wanajifanya wanajua mambo ya ghaib kuwaonesha kwamba hawajui lolote maana kama wangekua wanajua kwanini wasijue kama a s alikua tayari kaishafariki
Unatakiwa upigwe msasa kijana uelewe mambo
Ili wewe uwe msukule waoSulemani kufa na kakaa kwenye kiti mwaka mzima , hapewi chakula haendi chooni ata kukojoa haongei na mtu
Wajanja walificha ili wafaidike Nini ?
Nipe faida Moja walipata
Kwa mimi kutokujua wamefaidika Nini ndio swali la msingiIli wewe uwe msukule wao
Ndio maana nikakuambia hujui Biblia na Quran.😆😆😆
Kwahio pia kakopi vitabu vinavyopotosha ama???
Na jumba LA udongo la sulemani halikuwa na wafany usafi?Ili wewe uwe msukule wao
Kwenye Biblia Nuhu anaandikwa kuwa aliingia kwenye safina yeye na watoto wake watatu.😆😆😆
Kwahio pia kakopi vitabu vinavyopotosha ama???
Yaani kwa kuandika hivyo tu bila ushahidi wowote wa maana ndio tukuamini?Muhammad ni muongo ajabu,amini usiamini huyu wanayemuita Allah ni jini mkuu aitwaye subiani.Allah na majini wenzake walimtumia Muhammad kuupotosha ulimwengu ili kumpinga mwana wa Mungu aliyekuja kuwaokoa wanadamu,amini usiamini huu ndio ukweli uliojificha.
Wewe cumah na macumah wako wote waliochangia huu ucumaha ulioleta unaonekana ni cumah kilaza huna ufahamu wowote na vitu unavyojiaminisha unasoma cumah weweKila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).
Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.
Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo
Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)
Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.
Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.
Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
Wewe ch0k0 mnuka mavi unaaanza kufanana na mleta mada punga weweThat Pedophile man alikuwa mastermind.
Kama alifanikiwa kutengeneza ideology yake ya kipekee kwa stori za kutunga na mambo ya kufikirika ambayo hadi leo watu wako tayari kuua wengine ili kutukuza jina lake basi the guy was not a simple man
Wewe shoga unaongelea bibilia iliyotungwa na na mashoga wenzako wa vatikani?Unaweza kupata kisa kirefu hivi cha kusisimua kwa muendelezo katika Biblia?
Nabii Suleiman (a.s) alifia katika chumba au eneo lake maalumu aliloliweka kwa ajili ya ibada zake lilioitwa Mihrab.Hapa alikuwa akijitenga kwa muda mrefu akiwa anafunga kula na kunywa.Unayoyasema hayajajibu maswali yangu hata tone
Ilikuwaje watu ufalme wake wote hawamuoni na wapo kimya ? Watumishi ,mke watoto na ndugu mwaka mzima wapo kimya ? Mpaka mchwa wale fimbo yake ya miti , mfalme mzima ana fimbo ya miti?
Nyumba ya mfalme ni ya udongo?
Chooni haendi kula hali mwaka mzima na watu wapo wanaona sawa
Hakuna kilichobadilishwa kwenye bibilia kwenda kwenye QuranIla jamaa alijua timing ya kuwaamini Mitume wa Zaman.
Imagine hili eneo Mtume Mohamed hajawahi kufika. (Zaid ya story ile ya kupaa na farasi mwenye mabawa).
Ila aliaminisha watu wasujudu kuelekea upande wa huu uliopo huo mlima kwa miaka 20. Kuwa ni eneo takatifu. Na allah kaagiza kufanya hivyo.
Alafu alivyoikomboa Makka. Akabadili gear. Akasema kibra ni Al kaaba.
Msikiti rasmi wa Al Aqsa ulijenga miaka 100 mbele baada ya Yeye kufariki.
Huyu wanasema mtume asiyejua kusoma, nina wasiwasi sana. Alikuwa anajua kusoma ila akawa anawahadaa watu.
Story zaid ya 30+ za Biblia kazibadili na kuandikwa vingne kwenye Quran alafu akasema eti ndio story za Kweli na watu wapuuze za kwenye Biblia.
Alijufunza wapi kusoma maana watu wote wa karibu walijua hajui kusoma na hawakupata kumuona akijifunzaHuyu wanasema mtume asiyejua kusoma, nina wasiwasi sana. Alikuwa anajua kusoma ila akawa anawahadaa watu.