mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Suleyman alikuwa mfalme hauwezi kumsumbua mfalme akiwa amekaa.Kwa hiyo Allah aliwadanganya?
Na mke wake na watoto ilikuwaje hawajui walifanyiwa anaefanana kama kwa isa au?
Na kama alikuwepo anaefanana inamaana alikuwa pia anagonga mke wa sulemani
Mke alikaa mwaka haongei na sulemani alafu mtu kakaa kwenye kiti mwaka mzima ?Suleyman alikuwa mfalme hauwezi kumsumbua mfalme akiwa amekaa.
Uenda walikuwa na mashaka lakini hawakurusiwa kuingia chumbani kwake.hyo inawezekana
Sio mke alikuwa na wake wengi lakini hawakurusiwa kuingia chumbani kwake.ndo maana nimekwambia ni Moja ya miujiza yake Mungu.Mke alikaa mwaka haongei na sulemani alafu mtu kakaa kwenye kiti mwaka mzima ?
Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongoSio mke alikuwa na wake wengi lakini hawakurusiwa kuingia chumbani kwake.ndo maana nimekwambia ni Moja ya miujiza yake Mungu.
Kumbuka suleyman alikuwa mfalme.ulinzi mkali na maisha ya faragha.chochote kilichopo kwenye Quran si jambo la kutilia shaka maana mungu ndo alimuhadithia mtume kupitia malaika JIBRIL.
Kwanini unatilia mashaka?
Hajasimama alikuwa amekaa kaegemea fimbo .usibadilishe aya.Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
Kasimama nenda kasome na tafsirHajasimama alikuwa amekaa kaegemea fimbo .usibadilishe aya.
Hakuna sehemu kwenye Quran imesema ALISIMAMA ndo akaanguka.Kasimama nenda kasome na tafsir
Nawewe andika story kama alizo andika yeye kama rahisi
Yaani mtu hata ukoo wako hawakujui 😁😁😁
Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongeiHakuna sehemu kwenye Quran imesema ALISIMAMA ndo akaanguka.
Mtu akikaa kwenye kiti anaweza kuanguka akiwa ameegemea fimbo.
Haiwezekani mtu kufa akiwa amesimama.
Unaleta tafsiri yako
Kwahio hizi ndio hoja ulizosema utakuja nazoUnahisi Mohamed kaandika story mpya?.
Kazibadili.
Ni sawa na ww upewe kichwa cha habar alafu uambiwe utunge story.
Ndio maana story zake zimetokana na biblia.
Labda hujui tu. Ila katika visa vya mitume 24 walioandikwa kwenye Quran .
19 ni wa kwenye Biblia.
Mmoja ni yeye na waliobaki wa watatu ni mitume iliyotokea maeneo pembezoni mwa waarabu..
Now you got the Point.
Alikuwa kwenye kiti chake Cha kifalme amekaa amegemea fimbo .Kwa mikono na kichwa kainamisha kwenye fimbo katulia kama mtu anayewaza.Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei
Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?
Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake
Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
Unadhani wafalme waadilifu wanajilimbikizia tu mimali hovyo hovyoTafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei
Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?
Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake
Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
Kumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzimaAlikuwa kwenye kiti chake Cha kifalme amekaa amegemea fimbo .Kwa mikono na kichwa kainamisha kwenye fimbo katulia kama mtu anayewaza.
Na si jambo la kushangaza watawala wakitulia hawapendi kusumbuliwa.
Ndo maana nimekwambia inawezekana watu wake walimtilia shaka kimya chake lakini walishindwa kumfikia sababu mfalme hasumbuliwi
Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada hapo linashangaza lipiMtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
Kwanini ukaandika kwa kiswahili si ungeandika tu kwa kigogoKumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzima
Na kwanini Allah alimfanyia hivyo si angempa tu uhai kwa mwaka mzima?
Hawakumfikia inamaana chakula ilikuwa hawampelekei , hali mwaka mzima na wakawa wanaona sawa tu
We unasema mwaka mzima.Kumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzima
Na kwanini Allah alimfanyia hivyo si angempa tu uhai kwa mwaka mzima?
Hawakumfikia inamaana chakula ilikuwa hawampelekei , hali mwaka mzima na wakawa wanaona sawa tu
Kwa hiyo wapishi wake walikuwa wanampelekea chakula kwa siri au?Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada hapo linashangaza lipi
Utashangaliwa na kutafutwa wewe ambae siku moja ukiwa hujaonekana unajulikana umefichwa na mchepuko🤧
Sasa kajitenga wapi wakati alikuwa kakaa kwenye kiti cha mfalme?Sasa kama mtu alikua anatenga muda wake kujitenga mbali na watu kwaajili ya ibada 🤧
Hichi kisa Muhammad alikota kwenye stori za watoto za kiyahudiKwanini ukaandika kwa kiswahili si ungeandika tu kwa kigogo
Hili ndio mfano wa swali lako kwa Allah s w
Yaaani Allah kataka iwe alivyo taka na wewe unataka afanye kama unavyotaka wewe
Kijana unaumwa
Dini ya magumashiKila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).
Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.
Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo
Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)
Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.
Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.
Hii ni kama riwa ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.