Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi ni China.
Jambo lingine tena ukiwa unabiashara unataka kuifanyia China inabidi utoe technology ya biashara yako kwaserikali ili upate kibali cha kufanya biashara.
Januari Trump aliwasisitiza sana China wafanye biashara bila kushusha thamani ya pesa, China walitia saini mkataba lakini hawakuridhika na makubaliano.
Baada ya hapo Corona Virus alianzia Wahuan nchini China. Januari hiyo hiyo. Wiki mbili baadae idadi ya waliokufa kwa corona virus duniani ili fika 8,000.
wiki iliyopita Xi Jinping rais wa China akiwa Wahuan alisema wamedhibiti ugonjwa. Sasa hivi hakuna habari mpya za mgonjwa wala kifo kutoka China. Idadi ya raia wa China ni 1.4 billion.
Ukija kwenye huduma za afya huwezi kulinganisha matibabu ya China na nchi za Magharibi ya Ulaya na Marekani.
Katika maajabu corona virus anasambaa Ulaya Magharibi na Marekani wakati China wameweza kumdhibiti. France, Italy, England na Marekani sasa wanapambana na corona. Walati Urusi anaepakana na China ameripoti mgonjwa mmoja tu.
Kutoka India kwenda China ni maili 100 na wana idadi ya watu 1.5 billion lakini wana wagonjwa 60. Italy in watu milioni 65 na imeripoti wagonjwa 12,000.
Tangu corona virus isambae stock exchange market imeshuka sana hasa kwa nchi za Magharibi. Sasa hivi China ndiye mnunuzi mkubwa wa share kupitia makampuni ya serikali.
Kwa kifupi Januari Trump aliwapush mno China, waliingia mkataba ambao hawakuupenda. Wameleta kirus na sasa kinamchanganya Trump na rafiki zake.