Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

Kwan walivyo piga nyuklia Japan nyuklia zilikua zinaitajiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala nguruwe msijifariji. Kuna uwezekano huyo.mdudu wa nguruwe. Biblia inakataza, Yesu aliwaangamiza nguruwe, Qur'an imekataza, nyie mnaojidai ujanja kufakamia nguruwe mmelikoroga sasa mlinywe.
Bibi hapa unakosea sasa !!
 
Kwan CHINA Ndio Alimtuma US Akamuue Soleiman ?!

Upuuzi wafanye wenyewe halafu muwasingizie CHINA na RUSSIA

US Alisoma alama zanyakati akaona atakachokipata toka uajemi kitamfedhehesha akaona aufyate Mkia.....

Sent using My COVID-19
 
Sisemi kama US Kaleta haya maradhi ila kwan popo wameanza kuliwa mwishoni mwamwaka jana pale UCHINA ?!
Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Naomba reliable source ya hio taarifa.

Sent using My COVID-19
 
I agree. Sisi wenyewe tuu hapa tulipata order ya kutuma masks kwenda china maana viwanda vyote vimefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mahesabu tu mkuu me pia nilimtumia rafiki yangu china!!
Material yenyewe ya kutenganeza hizo mask yana tokea china na machine pia!!!
Don't underestimate Beijing brother adi mda huu wameshaiteka Dunia!!!
 
Air pollution ipo toka miaka na miaka waache kutufanya wajinga China au USa watakua ni wao wao wametengeneza hao virusi

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakini kwao imeharibu sana
Wengi wamepata magonjwa sana
Hili kwetu hakuna ila China wameathirika sana na pollution hilo halina mjadala


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…