X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Unamfananisha chonji na shkuba.
Chonji wa one man army. Pale magomeni makanya, tajiri huyu alijulikana sana na aina za gari zake either gx 100 nyeupe zina mdundo saaana mziki mnene, enzi dicksound ni fundi wa yule jamaa alikufaga, utamkuta pia na verossa.
Nyumba yake inakuta ndefu, nje garage ya magari, na imezungukwa na camera. Humkamati huyo. Akiingia tu ndio utamkamata, sii vinginevyo. Na hutojua yupo ndani au nje muda gani.
Hawa hawakusingiziwa ila walikutwa red handed.
Chonchi ni muuza madawa mkubwa sana magomeni, ajali kazini, Kaka zangu hawa nawaonea huruma kubananishwa maisha. Ila Mwenyezi Mungu awe nao mpaka mwisho wao uwe mwema.
Shkuba ni shkuba na hajawahi toroka popote, shkuba alikamatwa na tikotiko. Watoto wa kinondoni hao.
Ila Mimi nawaambiaje awa watu wanatoka...nchi yetu baada ya mkapa kesi nyingi hata za mauaji wahusika Huwa wanaachiwa...amini ata Hawa watatoka...!