Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Na wote ni kutoka dini ileee, inayojifsnya ndio Ina ma tajiri wengi, kumbe wauza ngada tu, ukiwakuta, mjini na Prado zao, unajiuliza hawa wanazalisha nini!
Chokambaya umetoka maporini unamaindi prado za wanaume,
Huna muda mrefu watakupa lift ukaukalie, unaonekana unavinasaba vya kuwashwa mtaro, na hivi huwa unaacha chenji ya mavi
 
We jamaa ulivyo hadithia nimekuogopa sana
 
Pamoja najamaa kununuwa tv inchi 55 segerea akiwa mahabusu lakini kapigwa maisha...
Kuna askari magereza na wafungwa watalia sn..

Jamaa akate atakata rufaa,,
Huwezi kumfungulia mtu kesi ya trafficking (kusafirisha)
Wakati mmemkuta nyumbani kwake.

Hiyo kesi ni either dealing (kujihushisha)
Au posession (kukutwa nayo).madawa.
Na sio kusafirisha (trafficking).
 
Sio madawa pekee,,
Pia walikutwa na rundo la pesa za kigeni na shilling za kitanzania lakini hazisemwi popote..
 
Mmoja ajitolee kuandika kitabu kati ya AMARII , incharge , mrangi na wewe enzo1988
 
Hata kama wangemkuta huko nyumbani kwake amelala. Kama tayari kuna ushahidi ya kwamba yupo kwenye syndicate ya trafficking/kusafirisha ngada hiyo imekula kwake na ndio maana wapo washitakiwa 5 inawezekana yy anatoa maelekezo wengine wanasafirisha. Kisheria hao wote lao moja
 
Wanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji, Mungu awasimamie.

Ajali kazini kama hauna roho ngumu kaka zangu msifanye kazi na biashara haramu mtaani patamu sn
Sasa wanaume tukiwa hatuna pesa na nyinyi dada zetu mnakua hamtutaki kabisa,achaa tujilipuwe tu ili nyinyi mfurahi,mwisho wa siku tunaishia mkashoo huku tunawaacha mnaliwa na wengine!!
 
"Hustler kama Ali shkuba natimba kila kiwanja ,eh i'm the magnifico napiga kazi za hatari" - Mwana FA 2008

Kama mwana FA alimpaisha kwenye wimbo wake wa Msiache Kuongea wa Mwaka 2008 means jamaa alianza kuuza BWIMBWI Kitambo.
 
Huyu hapa Au??
 
 
Hata manganese walimkamata kwa stallion hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…