Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Kuna mwaka niko transit airport flan,nikamuona mtu mzima kaja kunipa hi kwa lafudhi ya kitanga,nikamuuliza amenijuaje kumbe bracelet yangu ya bendera ya bongo ndio iliyomfanya anijue ni mbongo,nilipomuuliza uelekeo wake akaniambia anatokea south africa anaenda brazil halafu anadondoka msumbiji,nikamuaga naenda msalani na ndio akuniona tena
 
Nakupa mfano mdogo tu hv unajua mtu anaweza kuhusishwa moja kwa moja kwenye kesi ya mauaji kama alihusika kula njama tu!!!??

Hata kama sio yy aliyeuwa moja kawa moja

The same principle applied here
 
Nakupa mfano mdogo tu hv unajua mtu anaweza kuhusishwa moja kwa moja kwenye kesi ya mauaji kama alihusika kula njama tu!!!??

Hata kama sio yy aliyeuwa moja kawa moja

The same principle applied here
Kesi ya mauaji na kuhusika ni tofauti na kesi za madawa.

Wameweka bayana.
-kujihusisha/kufanya biashara (dealing)
-kukutwa nayo madawa either nyumbani,au mtaani (posession)
-airport, bandarini au harakati za kusafirisha mfano tumboni,,kwenye bag kutoka sehm moja kwenda ingine.(Trafficking)

Na hii trafficking ndy nzito zaidi kuliko hzo zingine.ambayo hata dhamana hupati.
Tatizo Tanzania watu wengi sheria hatuzijuwi.
 
Si Mwana FA mwenyewe aliimba. Yeye atakuwa ndiyo shahidi namba moja. Unamuimbaje drug king pin burebure?
Ulichoandika mwanzo na ulichoandika sasa ni vitu tofauti. Ulisema alikua ni punda wake ndio nikakuomba ushahidi
 
Tungemaliza utata kama kungekuwa na kopi ya judgment tusome. Tuone huo ushahidi ulikuwaje. Otherwise tutabishana bila kuona hukumu
 
Upo sahihi mimi ujamaa nao hao jamaa tukiwa safarini sina kabisa hata awe anatokea Mkoa naotoka na mara nyingi wakiwa kazini huwa wanakua hawajiamini hivi wanatafuta kampani yeyote kwa story story tu ni kuwakataa kwa mbinu hiyo hiyo usipate balaa maana balaa linaweza kukuta na usiamini kilichotokea..
 
Mazingira kama hayo natamanigi sana yanikute yani huo mkono ntakavyoutembeza wee acha tu.

adriz Chaliifrancisco
 
Tungemaliza utata kama kungekuwa na kopi ya judgment tusome. Tuone huo ushahidi ulikuwaje. Otherwise tutabishana bila kuona hukumu
Kesi za Sembe ni kweli zimetofautiana kutokana na mazingira uliyokamatwa na huo mzigo ila muda mwingine anaweza kukamatwa mtu Nchi nyingine harafu wakaja kumkamata mtu aliemtuma ambae yupo Nchi nyingine kwa kidhibiti kilichopo Nchi nyingine wakiamua wanamsafirisha kule kwenye kesi hizo mambo watu wengi wamekutana nazo ndio kazi ya Interpol hiyo..
 
KwaIyo kasingiziwa!?
 
Nakupa mfano mdogo tu hv unajua mtu anaweza kuhusishwa moja kwa moja kwenye kesi ya mauaji kama alihusika kula njama tu!!!??

Hata kama sio yy aliyeuwa moja kawa moja

The same principle applied here
Acha kulazimisha vitu
Umepewa maelezo kutokana na sheria za madawa, wewe unaleta mambo kesi ya mauaji, haviingiliani
Au hujui wazungu wanaposema loophole za kisheria
 
Hakika bro,anaweza kukuletea balaa lisilokuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…