Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Tanaka Adam (mwenye T-shirt ya Njano) moja ya middle ya uhakika Uwanjani huyu Feisal Salum na Chama wanasubiri nje!!!nilisoma nae Tambaza,katika vurugu za Tambaza 1994 ile Wanafunzi wote tukahamishiwa Shule mbalimbali nchini hivyo mimi na yeye na wenzetu wengine tukapelekwa Songea Boys tulikomaliza Form Four 1997. Miaka ya 2013 nilikutana nae Dar akiwa kanenepa na gari kali hatari wakati tulipomaliza Form Four tu hakuendeleaga na Shule,nikahisi lazima atakuwa anapiga deal chafu. Anyway ni Ajali kazini,pole kwake
 
Inatakiwa uumize kichwa kuelewa nilichoandika mkuu..
Hata kutaja haiondoki watu eti ndo wata engage au biashara itashamiri
Enzi za mwenye Dar Yake alikua anasumbua sana kukamata watu kumbe nae wale wale tualikua anajipossition
 
Mke sielewi kwa nini hawa watu wanakamatwa alafu tunatumia hela tena kuendesha kesi.
Wee tengeneza mazingira ya kuua tuu hamna kesi wala nini
 
Na Mtama mchungu naye kaishia wapi?
 
Hata kutaja haiondoki watu eti ndo wata engage au biashara itashamiri

Enzi za mwenye Dar Yake alikua anasumbua sana kukamata watu kumbe nae wale wale tualikua anajipossition
Ile ilikuwa ni vita fake kuwapumbaza wajinga, ile ilikuwa ni vita ya drug cartels kumiliki territory ndio maana hukuwahi kusikia jina la Kinje.
 
Ile ilikuwa ni vita fake kuwapumbaza wajinga, ile ilikuwa ni vita ya drug cartels kumiliki territory ndio maana hukuwahi kusikia jina la Kinje.
Yeah bora walivyompeleka Arusha huko akaanzishe mashindano ya pikipik na kufokea watumish na naona upepo wake wa mikutano umekata kaamia kwenye kampeni
 
Mke sielewi kwa nini hawa watu wanakamatwa alafu tunatumia hela tena kuendesha kesi.
Wee tengeneza mazingira ya kuua tuu hamna kesi wala nini

Ile staili ya rais aliyepita wa nchi ya Filipino mheshimiwa Duterte haifai Tanzania manake wasio na hatia watatekwa pia kupotezwa kwa kisingizio cha madawa ya kulevya ....

Shirika la Utangazaji la Australia
https://www.abc.net.au › habari › p...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anasema anahusika na mauaji ...

20 Okt 2020 - Chini ya kampeni hiyo ya Rodrigo Duterte, polisi walilenga wafanyabiashara wadogo na watumiaji pamoja na wafanyabiashara wachache wakubwa wa dawa za....

By freelance correspondent Ben Bohane in Manila
15 Sep 2016 at 11:45pm

President Rodrigo Duterte's hardline stance on drugs is taking its toll.(AFP: Presidential Communication Operations Office)
 
Duuh jamaa aliajiri hadi Wana martial arts..!! Kweli alijiandaa kwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…