mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Alikuwa mtu makini sana yule mmasaiKazi ya kamishna wa kwanza Rogers Sianga.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mtu makini sana yule mmasaiKazi ya kamishna wa kwanza Rogers Sianga.
Chapa kazi ndugu yangu, maisha ni haya haya Bw. MrangiHamna lolote mkuu
Ova
Tajiri Chonji ni maarufu sana.Wamekamatwa wa 5 ila Chonji ndio yupo kwenye headline itakuwa ni maarufu huyu
Hata kutaja haiondoki watu eti ndo wata engage au biashara itashamiriInatakiwa uumize kichwa kuelewa nilichoandika mkuu..
Enzi za mwenye Dar Yake alikua anasumbua sana kukamata watu kumbe nae wale wale tualikua anajipossitionSiku hizi pwani za huku bongo hawaji.....wanadakwa sana
Wenyewe wanakuambia tunaenda kuvua 😄
Ununio kipindi fulani walishushiwa sana maboom...baadhi ya wavuvi walipopewa mchongo wengi wakahamia huko na uvuvi wakaacha,kwa kina dallas huko
Any way kitengo bongo kinajitahidi kupiga kazi aise..pongezi wapewe
Na sahivi wao wanataka wakikudaka wakudake na kidhibiti
Ukidakwa ukitoka we kidume...
Ile OP ya awamu ile nyingi zilikuwa na ulakini,kila mtuhumiwa akidakwa anakutwa na grm 200
Kama ulinotice...kulikuwa na kuchomekeana
Ova
Toka maktaba :
2022 21 November
Kambi Zubery Seif, mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya kilogram 27 eneo la Kiluvya kinyume na Sheria ya Kuzuia na Kupamba na Dawa za Kulevya.
View: https://m.youtube.com/watch?v=JPTClkY3Ntk
SARAH MWENYE KESI ya DAWA ZA KULEVYA kilo 34.89 inayomkabili pamoja na Muharami Sultan, Cambiasso na wenzanke kadhaa AWATAJA WATOTO WAKE MAHAKAMANI - ''SIELEWI WANAISHIJE''...
View: https://m.youtube.com/watch?v=Dh02jQsSM_Y
2023 16 February
SARAH MWENYE KESI ya DAWA ZA KULEVYA heroine zenye uzito wa kilo 34.89. AWATAJA WATOTO WAKE MAHAKAMANI - ''SIELEWI WANAISHIJE''...Kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni kuhusu mshtakiwa Sarah Joseph anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya, ameieleza Mahakama hiyo kuwa haelewi watoto wake wanaishi maisha gani huko walipo.Mshtakiwa huyo ametoa madai hayo leo baada ya Wakili wa Serikali Caroline Matemu kuieleza mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mary Mrio kuwa upelelezi wa shauri hilo bado unaendelea, hivyo wanaomba Mahakama ipange tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
Hakimu Mrio baada ya mahakama kuelezwa hayo, ameahirisha kesi hiyo hadi Machi 2, 2023 itakapotajwa na washtakiwa wamerudishwa rumande kutokana na kesi inayowakabili haina dhamana kwa mujibu wa sheria.
Mbali ya Sarah pia katika kesi hiyo kuna washtakiwa wengine watano akiwemo aliyekuwa kocha wa Makipa wa Timu ya Simba, Muharami Sultan(40), ambapo kusafirisha dawa za Kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo 34.89.
Na Mtama mchungu naye kaishia wapi?Na kesi hii ilikuwa na msukumo nyuma yake.... ikimlenga huyu huyu chonji ndy yote haya yakatokea
Kwanza hiyo siku jamaa chonji anapigwa ambush kituo cha polisi magomeni wala urafiki walikuwa hawana taarifa
Umeme ulizimwa eneo lote hilo la magomeni
Baharia siku hiyo nlikuwa grand Hotel pale nna mgeni
Ebwana ilikuwa kama movie....
Chonji walipomtimbia kwake alijua anavamiwa na majambazi
Mule ndani kwqke jamaa alikuwa na mzigo mahela,kuna watu walikuwa wanapack kazi wengine wana hesabu mijihela nk
Jamaa alipelekewa watu wa maana watu walipigika sana maana yeye si alikuwa na watu wapiga ngumi 😄 akapelekewa watu wa ngumi pia
Ila ile operation kwake hata polisi magomeni,urafiki,obay walikuwa haijuwi kama inafanyika
Ova
Ile ilikuwa ni vita fake kuwapumbaza wajinga, ile ilikuwa ni vita ya drug cartels kumiliki territory ndio maana hukuwahi kusikia jina la Kinje.Hata kutaja haiondoki watu eti ndo wata engage au biashara itashamiri
Enzi za mwenye Dar Yake alikua anasumbua sana kukamata watu kumbe nae wale wale tualikua anajipossition
Huyo jamaa itakuwa ana mizizi iliyo jichimbia chini sana maana miaka yote hajawahi kuguswaIle ilikuwa ni vita fake kuwapumbaza wajinga, ile ilikuwa ni vita ya drug cartels kumiliki territory ndio maana hukuwahi kusikia jina la Kinje.
Yeah bora walivyompeleka Arusha huko akaanzishe mashindano ya pikipik na kufokea watumish na naona upepo wake wa mikutano umekata kaamia kwenye kampeniIle ilikuwa ni vita fake kuwapumbaza wajinga, ile ilikuwa ni vita ya drug cartels kumiliki territory ndio maana hukuwahi kusikia jina la Kinje.
Kwani watumiaji huwa wana shikiwa bastola?Kuuza madawa sio ajali kazini hao walitakiwa wauawe kabisa
Mke sielewi kwa nini hawa watu wanakamatwa alafu tunatumia hela tena kuendesha kesi.
Wee tengeneza mazingira ya kuua tuu hamna kesi wala nini
Hiyo ni Sheria ya watenda dhambi wa Mtume... Wenyewe wanasema Muuaji na Mbakaji anayeswali ni bora kuliko mtu msafi asiye swaliAnabonge ya sijda kwenye paji la uso..ninachompendea hakosi msikitini
Duuh jamaa aliajiri hadi Wana martial arts..!! Kweli alijiandaa kwa kaziNa kesi hii ilikuwa na msukumo nyuma yake.... ikimlenga huyu huyu chonji ndy yote haya yakatokea
Kwanza hiyo siku jamaa chonji anapigwa ambush kituo cha polisi magomeni wala urafiki walikuwa hawana taarifa
Umeme ulizimwa eneo lote hilo la magomeni
Baharia siku hiyo nlikuwa grand Hotel pale nna mgeni
Ebwana ilikuwa kama movie....
Chonji walipomtimbia kwake alijua anavamiwa na majambazi
Mule ndani kwqke jamaa alikuwa na mzigo mahela,kuna watu walikuwa wanapack kazi wengine wana hesabu mijihela nk
Jamaa alipelekewa watu wa maana watu walipigika sana maana yeye si alikuwa na watu wapiga ngumi 😄 akapelekewa watu wa ngumi pia
Ila ile operation kwake hata polisi magomeni,urafiki,obay walikuwa haijuwi kama inafanyika
Ova
Mtoto mdogo sana weweeeUomgo wa mtaanii.....selo kusikie tu....chakula unapewa kutokana hela yako.....sasa wanakula gwanda zoezi lime change sasa wafungwa maisha
Shauri yako ......kama huna pesa jela umeishaaaMtoto mdogo sana weweee