Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Sidhani....! Hii list ni ndefu Kuna li papa li moja kwikwete alilikabizi kwa FBI likaenda kufungwa ULAYA huko harafu nasikia limebakisha muda mchache litoke...!​

Tetesi huyo aliefungwa US amesha achiwa... Kule walimpeleka kupumzika tu.. Waka freeze assets zake bhas... A very humble and family man... Ila kwa matukio sasa.....
 
Ulikuwepo hiyo siku?? Unajua mchezo ulichukua muda gani?? Uliza kitengo walipata upinzani gani na kutoka kwa kina nani! Wewe unawafahamu hao, wengine unawajua??

Halafu sijafananisha mtu, nimeelezea tukio la kukamatwa kwake na siyo kama muuza unga wa kimataifa! Au nikupe ushindi kwa ubishi??

Polisi waliokuwa kwenye convoy walipogundua anayefuatwa ni bosi wao walirusha risasi juu kuleta taharuki na kumshitua bosi wao akimbie.

Alikimbilia chini kwenye basement kwenye private room yake, Tanaruza na Tanaka ndio walikuwa na bastola wakataka kuvimba wakatulizwa kwenye utambulisho wakagundulika nao vipusa wakanasa.
Informer akatoa maelekezo wapi chumba kipo kwenye basement jamaa akaopolewa kama samaki.

Simu ya mwisho ilikuwa imekwenda kwa dogo, Mzee akapewa taarifa akajibu "asongeshwe"

Tuache story za vijiweni wala haikua issue kubwa saana kivile kukamatwa kwake zaidi ya zile risasi za wale askari waliokuwa kwenye payroll yake kutoa magomeni usalama.
 
Hakuna anayeweza kuwafananisha na hawa manguli wa kimataifa. Lakini lile tukio la kukamatwa kwake ni la kimataifa, au unasemaje?? Kuanzia mchoro mpaka hitimisho lake ni la kimataifa.
Ile operation ilikuwa ya kipekee sana.Nilikuwa naishi hapo Mtaa wa Mtwara.Ilikuwa kama movie,mdundiko ulilia haswa.
Ukitaka kuwajulisha ndugu na jamaa kuwa Leo mtaani kwetu Kuna vita,unakuta simu Haina network.
Nje risasi zinalia balaa!
Ukitaka kutoka nje unakuta mtaa mzima wamejaa wamba wameenda hewani wamejikoki na mikwasa!
Unarudi ndani kimya.
 
Chonchi alikamatwa kipindi cha JK akiwa ndio anakaribia kuondoka madarakani, hata shikuba alikamatwa kipindi cha JK pia... Hawa walikuwa Kingpin kweli?

Nanga... Hao uliowataja unadhani kuna nani kingpin ukanda huu kuacha hao?

Kama shikuba anaeingiza mzigo kwa meli utasema ni nani? Shikuba ana namba hadi Pakistan... Na ndio maana wakubwa walimuomba chap wakaondoka nae... Chonch kwenye hizo kazi ni mdogo sana kwa shikuba
 
Nanga... Hao uliowataja unadhani kuna nani kingpin ukanda huu kuacha hao?

Kama shikuba anaeingiza mzigo kwa meli utasema ni nani? Shikuba ana namba hadi Pakistan... Na ndio maana wakubwa walimuomba chap wakaondoka nae... Chonch kwenye hizo kazi ni mdogo sana kwa shikuba

Nakubaliana nawewe, huwezi kumfananisha chonchi na Shikuba, Shikuba alikuwa more international na aliweza hata kupenatrate kwenye soko la USA bila shaka hata network yake kimataifa ilikuwa kubwa sana, Shikuba alikuwa giant kweli.
 
Back
Top Bottom