Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Pascal Mayalla huyu huyu wakili msomi...?Good job Awamu huyu jaji ni clasmate wake Pasco Mayala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal Mayalla huyu huyu wakili msomi...?Good job Awamu huyu jaji ni clasmate wake Pasco Mayala
Wajinga sana, thamani ya Nini?Ifike wakati wasitangaze thamani ya hayo madawa ya kulevya kama Serikali inapinga matumizi ya hii kitu hizi thamani wao wamezipata wapi wataje uzito na aina inatosha kutaja taja thamani kunachochea ongezeko la hiyo biashara haramu..
Thamani huwa zinaandikwa kwenye hati za mashtaka.Ifike wakati wasitangaze thamani ya hayo madawa ya kulevya kama Serikali inapinga matumizi ya hii kitu hizi thamani wao wamezipata wapi wataje uzito na aina inatosha kutaja taja thamani kunachochea ongezeko la hiyo biashara haramu..
Ndio yupi hapo kwny picha?Chonji ni Tajiri maarufu kule Nagomeni MwembeChai ni The Doni hasa.
Tangu mwaka 2010 alikuwa akiwika kama tajiri anayeibuka kwa kasi.
Kesi hii imekaa muda mrefu sana..
Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.
Huyo huyo.....clasmate wa Pasco.....Pascal Mayalla huyu huyu wakili msomi...?
Acha siasa wewe. Au umekuja mjini mwaka jana?Lakini, Je, ni KWELI kwamba Watu hao wamekamatwa na hayo madawa ya kulevya au wamebambikiwa tu hayo madawa ya kulevya???
Endapo Kama ni kweli kiuhalisia Watu hao wanahusika na hayo madawa ya kulevya basi haki imetendeka, lakini kama wamebambikiwa na 'Watesi wao' basi Mungu awaongoze vyema ili waangalie namna ya kuweza kujinasua na dhahama hiyo, ikiwezekana wakate Rufaa na Mungu asaidie ili Rufaa yao ishinde.
Umenena.Ifike wakati wasitangaze thamani ya hayo madawa ya kulevya kama Serikali inapinga matumizi ya hii kitu hizi thamani wao wamezipata wapi wataje uzito na aina inatosha kutaja taja thamani kunachochea ongezeko la hiyo biashara haramu..
Unamfananisha chonji na shkuba.Chonji si ndo yule aliyekamatwa na wa marekani? Akapelekwa mtwara akatoroka wakamkamata tena au ni yupi? Kama ni yeye umrinwake ni mkubwa sana na hiyo miaka sijui kama atakaa mingi atajifia zake gerezani tu.
Yule wa underground ya hapo magomeni yeye alitoka au vipi?
Kuweka thaman ya madawa kutahamasisha vijana kufanya biashara hyoMkuu unadhani kwenye circle ya hayo mapapa watashindwa kujua thamani? Tena pengine inaweza kufanya wavumishi wakasema bei ya juu zaidi.
Biashara yenye faida ya 1000% ata mie imenitamanisha kwa kweli. Wacha niachane na hii kazi ya kufukuza upepo na bodaboda yanguKuweka thaman ya madawa kutahamasisha vijana kufanya biashara hyo
Vijana hawana chakupoteza, ndio mana hawahofii kufanya maamuzi magumuBiashara yenye faida ya 1000% ata mie imenitamanisha kwa kweli. Wacha niachane na hii kazi ya kufukuza upepo na bodaboda yangu
Mtaani patamu una hela...sasa wee upo mtaani alafu kila leo kuwapigia nyeto mashemeji kuna raha gani. Wacha vijana wajilipueWanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji, Mungu awasimamie.
Ajali kazini kama hauna roho ngumu kaka zangu msifanye kazi na biashara haramu mtaani patamu sn
The greater the risk the greater the reward. Kwani nasie hatupendi kukojolea pazuri jamani🤣🤣🤣🤣Vijana hawana chakupoteza, ndio mana hawahofii kufanya maamuzi magumu
Kwani thamani yake haijulikani? Mbona mitaani hata watu wenye fedha nyingi na ambao hawajulikani wanafanya kazi gani huwa wanahisiwa kuwa ni wauza unga?Kuweka thaman ya madawa kutahamasisha vijana kufanya biashara hyo
Wapo ambao hawajui thamani.Kwani thamani yake haijulikani? Mbona mitaani hata watu wenye fedha nyingi na ambao hawajulikani wanafanya kazi gani huwa wanahisiwa kuwa ni wauza unga?
Sio biblia au msaafu huo mkuu waache kuandika kama wanavyofanya Nchi za America ya kusini mashtaka ni kukutwa na kitu haramu Over..Thamani huwa zinaandikwa kwenye hati za mashtaka.