Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Dawa ni shoti ya overhead transmission line kwa jamii mazee. Ni noma!
Hata wakuojificha kwenye dini, siasa wachimbuliwe.
Muuza dawa na mouluzia sumu kwenye maji ya kutumiwa hakuna tofauti
 
Chonji ni Tajiri maarufu kule Nagomeni MwembeChai ni The Doni hasa.
Tangu mwaka 2010 alikuwa akiwika kama tajiri anayeibuka kwa kasi.

Kesi hii imekaa muda mrefu sana..
Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.Samia anahusikaje?
 
Lakini, Je, ni KWELI kwamba Watu hao wamekamatwa na hayo madawa ya kulevya au wamebambikiwa tu hayo madawa ya kulevya???

Endapo Kama ni kweli kiuhalisia Watu hao wanahusika na hayo madawa ya kulevya basi haki imetendeka, lakini kama wamebambikiwa na 'Watesi wao' basi Mungu awaongoze vyema ili waangalie namna ya kuweza kujinasua na dhahama hiyo, ikiwezekana wakate Rufaa na Mungu asaidie ili Rufaa yao ishinde.
Mkuu labda kwasababu huishi Dar au hata kama unaishi Dar bhasi uko busy na mambo yako. Huyo Chonji ni mtu maarufu sana kwenye hiyo michezo tangia kipindi cha JK. Waru wa magomeni na viunga vyake vyote mpaka Kinondoni, Ilala mpaka Kisutu anafahamika. Ifikie kipindi tuapreciate mhimili wa mahakama kwa kazi inayofanya.
 
Kwa hiyo kwa akili yako unaona hii serikali ya samia ndio ina umadhubuti wa kupambana na vita ya madawa ya kulevya??

Kwamba kukamata hao akina choji ambao hata sio main supplier ndio kunakufanya uwe excited namna hii kiasi cha kubwabwaja maneno ya mipasho kama kimama cha uswahilini chenye asili ya kizanzibari?

Wewe nakuona umevimbiwa asali na haujui kinachoendelea, na kwa taarifa yako tu ni kwamba hakuna kipindi ambacho biashara haramu zinafanyika sana tena kwa uwazi kama awamu hii... weka hilo akilini.
Atayajua wapi haya huyo boya..mtu akiishavaa shati la kijani anajiona eti Na yeye ni mtu wa systems😀😀😀😀
 
Halafu alikuwa akiswali swala tano.
Ibada isiyokutenganisha na mambo machafu sio ibada mzeiya

Ndio manaa Qur'an inawapa onyo wenye kusali unaweza kushtuka wenye kusali wameonywa pia mwishowe aya ikasema wale ambao sala zao huzipuuza

Kwa hiyo ibada ambayo haikufanyi ukaacha mambo machafu ni kama seat ups kukata tumbo basi
 
Sio kweli bhana wajinga wengi Cape Town waliingia kwenye hiyo mishe kwa kupata huo mchongo kirahisi tu wengine wamenyongwa China,wamefungwa Brasil,Peru na Hong Kong kuishi SA haimaanishi utajua kitu wengi wameishi SA na hakuna kitu wanajua zaidi ya kusema hiki hakiwezekani mimi nipo Road narudi kutoka SA wengine wapo hapo Botswana Jela walitamanishwa wakaacha kazi yao ya kusafirisha mizigo wakapakia Bwimbwi wameisha...yaani Sembe limezaga daslm unasema usilione wawapi wewe?.
Kubari Kataa, Madawa sio Mahindi, labda kama unazungumzia Chumvi ama Tik ambayo ndo inatumiwa na Vijana wengi SA..!

When it comes Kwa Heroine ama Cocaine, Brother si kitu kila mtu anajua pakuipata...! Otherwise ingekua rahisi Sana kuwakamata Big dealers...!
 
Nimesema hakuna kitu unajua mkuu fanya mambo yako hao wakina Tiko walikua vinyozi tu hapo Golden Accre wakamatamanishwa hela wakaingia ni vile hujui kitu harafu unataka kujifanya unajua kitu vitu haramu SA watu hawatumii nguvu kuvifanya au kujua miaka ya nyuma watu wa Sembe walikua wanawapigia simu watu wageni wenye passport ya Tanzania ili wawape kazi hapa sio sehemu yake kuwataja taja watu maana vijana wengi tumewapokea sisi Cape Town wengine wameenda sehemu salama na wengine ndio hao unawasikia mwaka 2002 niliwahi kuwaita jamaa zangu wawili mmoja nimesoma nae na mwingine nilikutana nae Cape niliposikia wanasafirisha hizo mambo niliwaita Waterfront kuwasihi waachane na hizo mambo maana watapoteza familia kwa kuwapa mifano kwa kuwa mimi ni mkongwe SA..walichonijibu ni kuwa huko wanakochukua mizigo yao wana madeni makubwa ngoja walipe wataacha kabisa..mimi nilikua docks kwenye mambo ya Meli baada ya miezi sita napanda Mjini naambiwa mmoja alienda China na mwingine alipitia Iran hatujawaona hadi leo mkuu mwingine aliandika barua akiwa Peru nae alishafariki ni vijana wetu wa Cape Town ambao walikua wanaokotwa ili wawe Punda...narudia tena kutaka kufanya kitu chochote haramu sio kazi kama unavyodhania Big fish wanapatikana kirahisi ukiwahitaji..
 
Sasa kama unasema Hao jamaa zako wanakwambia Huko wanakochukua Mzigo Wana Madeni na wanataka kulipa, how come unasema yeyote akitaka kuuza Unga anaweza tu...!

Si mpaka uwe na Connection....!? Wewe umeona ulichoona, Mimi nimeona nilichoona Kwa Macho yangu, nawajua dealer wakubwa Mitchell plain, nimeshuhudia Leader wa Americano Rockland's - Mitchell plain, anataka Mzigo, anamtumia Mburundi Kinyozi amuunganishe na dealer, Coz Mimi ninao wanangu ndo mishe zao, Mimi nanyanyua Simu Nampa mchongo MWANANGU, nao wana namna Yao ya kuhakikisha kama deal ni deal ama dirisha, akaja kajiridhisha wakafanya Biashara....!

So sio lazima wote tuamini Kwa unayoyaamini....! Mimi naondoka Wana wanafata mizigo Kwa Wahindi kama end Seller....! Now days Watu wanatoa Mzigo Mozambique, Sasa umetoka ulipotoka unasema nataka kwenda kununua Mzigo Kwa Muhindi, unadhani utapata unachotaka....!?

Kila kitu kina njia zake, that's why ni Ngumu kuwapata big dealers coz wapo Nyuma Sasa, Mimi nikitaka Madawa iwe SA ama hapa natapata tu, coz ninajuana na Watu, vp kama huna unayemjua ....!? Ndo maana nikakamwambia sio rahisi kama unavyodhani...!
 
Babu chonji ni kama taasisi ila kwa hukumu hiyo na pesa aliyokuwa nayo ni style ingine ya kumtoa jela. Atakata miaka 4 halafu rufaa halafu anatoka.
Wale wauza unga wa magomeni wana kikosi chao cha walinzi na kutuma kwenda kudai au kuharibu jamaa kazi yao mazoezi basi wako fiti balaa.
Hao kama wakitumwa waje wakule kiboga wanakula kisamvu halafu wanaondoka zao huwafanyi kitu.

Kuna mhindi sijui muajemi mmoja huwa anakamatwa lakini kesi zote zinaishia makabrashani somebody Assad azizi mdogo wake na rostam sijui kwanini hata siku moja huwezi kusikia akhukumiwa huyu.

Ila pale magomeni kwa chonji nsembo alipokuwa na ofisi ya transportation wale jamaa wanaojaa pale siku nzima wote wauza unga kuna magari yanapaki pale utasema car dealership.

Chonjia ana ghorofa kazaa kariakoo, yuko vizuri sana.

Ipo hatari kubwa hii biashara sasa imeshikwa na wageni aina ya wachina na wanaigeria maana kuna showroom nyingi za magari sasa hivi za wachina na wapakistan. Na.kuna baa nyingi masaki za wanaigeria watuwa kazi.
 
Sasa kama unasema Hao jamaa zako wanakwambia Huko wanakochukua Mzigo Wana Madeni na wanataka kulipa, how come unasema yeyote akitaka kuuza Unga anaweza tu...!

Si mpaka uwe na Connection....!? Wewe umeona ulichoona, Mimi nimeona nilichoona Kwa Macho yangu, nawajua dealer wakubwa Mitchell plain, nimeshuhudia Leader wa Americano Rockland's - Mitchell plain, anataka Mzigo, anamtumia Mburundi Kinyozi amuunganishe na dealer, Coz Mimi ninao wanangu ndo mishe zao, Mimi nanyanyua Simu Nampa mchongo MWANANGU, nao wana namna Yao ya kuhakikisha kama deal ni deal ama dirisha, akaja kajiridhisha wakafanya Biashara....!

So sio lazima wote tuamini Kwa unayoyaamini....! Mimi naondoka Wana wanafata mizigo Kwa Wahindi kama end Seller....! Now days Watu wanatoa Mzigo Mozambique, Sasa umetoka ulipotoka unasema nataka kwenda kununua Mzigo Kwa Muhindi, unadhani utapata unachotaka....!?

Kila kitu kina njia zake, that's why ni Ngumu kuwapata big dealers coz wapo Nyuma Sasa, Mimi nikitaka Madawa iwe SA ama hapa natapata tu, coz ninajuana na Watu, vp kama huna unayemjua ....!? Ndo maana nikakamwambia sio rahisi kama unavyodhani...!
Nadhani pana kitu unachanganaya kazi yeyote lazima mtu uifatilie hakuna kitu utakutana nacho mtaani na huko Mozambique watu walishaacha mazee wahuni wanatumia njia zingine...Wahindi toka Dunia iumbwe ndio kazi yao kubwa hiyo..
 
Chonji ni Tajiri maarufu kule Nagomeni MwembeChai ni The Doni hasa.
Tangu mwaka 2010 alikuwa akiwika kama tajiri anayeibuka kwa kasi.

Kesi hii imekaa muda mrefu sana..
Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.
Akina issa tambuuu
 
Back
Top Bottom