MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

UDOM ndo chuo pekee kinachopeleka wanafunzi wake clinical area kwa mwaka mzima , DRs na Nurses, that is why they have a lot of exposure, hivyo experience wanapata za kutosha

Sijawahi kuona sina evidence ila unaweza kupeleka failures then wasiwe na outcome yoyote
 
MADOKTA UCHWARA

MANESI UCHWARA

MADOKTA WANAOCHATI WHATSAPP

MADOKTA WANAODUNGA WATU MACHANJO YA HOVYO HOVYO

MADOKTA WANAOBANIKA WATU KWENYE MIONZI

MADOKTA WENYE D MBILI
 
Hakuna mnachojua

Labda wewe unaweza kujibu, umesema nimekosea kuandika jina kwamba ningeandika Generic name !
What Generic na Generic brand
Innovator na Innovator brand ? Au what is INN

Ukiweza kujibu hili akili yako itatulia
Unaishi Tanzania ipi mkuu?

Medicine kama hauna div one au two hugusi

Hata hapo UDOM kama huna one au two hugusi

Hayo mambo ya D umeyatoa wapi?

Au unazungumzia clinical oficers?

Aaaah unaichosha mizimu ya babu yangu dokita iliyopo kichwani inayontuma niandike haya madude

Nakutakia kila la kheri huko ulaya
 
MADOKTA UCHWARA

MANESI UCHWARA

MADOKTA WANAOCHATI WHATSAPP

MADOKTA WANAODUNGA WATU MACHANJO YA HOVYO HOVYO

MADOKTA WANAOBANIKA WATU KWENYE MIONZI

MADOKTA WENYE D MBILI

Suala la D kusoma medicine au pharmacy au nurse ni zao la kuwa na wanasiasa ambao ni academic failures
 

Soma kwa utulivu mada
 
Mi nafikiri una point kwamba mfumo wetu wa elimu kuna sehemu tunajikwaa, lakini siyo kila chuo ambacho hukusoma wewe basi kibaya. Kuna vyuo vizuri na sisemi majengo au jina la chuo naongelea wahitimu wa vyuo hivyo na course hizo.

Sibishani nawewe kuhusu baadhi ya wanafunzi kutokuelewa, hilo lipo na lilikuwepo hata hapo MUHAS na kabla ikiwa MUCHS of UDSM.

Wanao sema UDOM ina wahitimu wazuri poia wako sawa, niliona licha ya kuchukua waliofaulu vizuri pia walichukua Clinical Officers wengi pia, na kumbuka hawa clinical officers licha ya kuwa hawakufanya vizuri A level wakaenda kusoma hizo diploma, lakini wana idea ya medicine ni nini au udaktari unatakiwa uweje.

Kumbuka vijana wengi wakiishatoka Tanzania, huwa wanadhani waliobaki kule woote ni wajinga, kwamba hakuna anayeelewa chochote ila wao walio nje, hapana haiko hivyo.

Kumbuka hata ma genius pia hufanya makosa, haimaanishi sasa ni mbumbumbu kabisa.
Hao uliokutana nao wakiwa field labda pia walikuwa na stress, na walijibu kwa uoga tu, na labda leo ni wazuri tu katika ajira zao.

Hata MUCHS watu walikuwa wan fail field, na hata intern walikuwa wana fail pia. Licha ya hivyo, wapo waliokuwa wakirudia miaka na hata ku disco kabisa hapo MUCHS au MUHAS ya sasa.

Wapo waliosoma Urussi, Ukraine, India, Uganda Makerere na kwingineko wako vizuri sana tu. Na wapo walio soma IMTU pia wako vizuri kabisa.

Mi sidhani kama samaki mmoja akioza basi wote wameoza.

Nchi zilizoendelea wana mifumo tofauti, na kumbuka lugha ya kujifunzia pia siyo kwamba kutokuwa compitent kwenye kiingereza basi kunamuondolea mtaaluma ufahamu wake, hapana.

Sijui uko nchi gani lakini, hata Tanzania kuanzisha mitihani kusudi siyo kumkomoa mtu, bali kuwafanya wataalamu wawe compitent.

Marekani wao USMLE wanazo Tatu, hapa kwetu Medical licensing moja tu, bado vijana wetu wana fail.

Ila kumbuka na fail mtu binafsi siyo vyuo alivyosoma.
 
MUHAS kinatoa madaktari wanaojua theory zaidi kuliko practical, ndio maana wewe tunakuambia hujui unachoongea na umekurupuka, na sio kosa la wanafunzi kwasababu kwa nature ya hicho chuo mwanafunzi hadi amguse mgonjwa ni shughuli pevu.
Hahaha siyo kweli, Kwani siku hizi wamezuiliwa kufanya practical? MUHAS wako vizuri tu, unaweza kuta mtu mmoja anashida zake lakini chuo kiko vizuri tu.
 
Nadhani bado kijana, ana nguvu na majivuno. Wanafunzi wana panic field hata kwenye mitihani. Kuna madaktari bingwa leo ukiuliza historia zao vyuo walivyosoma labda hawa kuwa hata kwenye top tena huko mashuleni lakini wako vizuri kazini. Muda wa kazi unampika mtaaluma yeyote vizuri.
Yeye ana generalize sana.
 
Wapo wengi
Wengine wamesoma Russia, china Poland
Unadhani waliosoma Urusi, China na Poland ni vilaza? Mbona wako wengi wazuri sana? Wapo mmoja mmoja wana matatizo yao binafsi, lakini siyo wote.
 
MUHAS kinatoa madaktari wanaojua theory zaidi kuliko practical, ndio maana wewe tunakuambia hujui unachoongea na umekurupuka, na sio kosa la wanafunzi kwasababu kwa nature ya hicho chuo mwanafunzi hadi amguse mgonjwa ni shughuli pevu.
Hujui unachosema. MUHAS kuna wagonjwa hadi wanamwagika. Daktari mwanafunzi akitaka muda wote awe na wagonjwa anaweza.
 
Daktari wa leo ana assitances nyingi sana sababu ya tekinologia ya zana zake za kazi ukilinganisha enzi za Dr.Livingstone.
Yawezekana tunapoenda huko mbele prestigious white collar job kama medical doctor itafanywa tena kwa ufanisi zaidi na Artificial Intelligence devices badala ya Daktari binadamu.
Ukisikia automation sio tu kwenye viwanda ipo hadi hospital kwa maafisa afya,wengi wao watakuwa redundant.
Na Siku chanjo ya malaria itakapopitishwa ujue hospitali nyingi zinaenda kufungwa kwa kukosa wateja.
Yajayo yana........
 
Mxiuuuuuu! Mbona madaktari bora waliotoka hivyo vyuo hawaonekani?
 
Mkuu una mawazo mazuri tu tafuta the right platform uwasilishe maoni yake I'm sure yatafanyiwa kazi tu. Don't end up lamenting just act responsibly
 
You have a point to ponder, You are very correct! all in all kumbuka Albert einstein alikataliwa kwenda university kuwa uwezo wake ni mdogo, ....and you know the story about the guy!
 
Hivi nataka kuwa daktari, topic ya projectile ya form six inanisaidia Nini.
Unafundishwa namna ya kufikirri, reason, philosophical thinking........ abstract thinking inafundishwa hiyo katika various fields. Wewe na wenzako vijana wa vyuo vya kata it seems!
 
Mkuu una mawazo mazuri tu tafuta the right platform uwasilishe maoni yake I'm sure yatafanyiwa kazi tu. Don't end up lamenting just act responsibly
You can also take up the agenda!
 
Pamoja na hoja zako ambazo hazina utafiti wa kutosha na wala hazija tumia njia ya kitaalam na ya kitafiti kufikia hitimisho. Unamatumizi mabaya kabisa katika lugha. Yani unachanganya kingereza hukohuko kiswahili andiko linakuwa vurugu.

Ukiwa kama msomi unatakiwa uweze kuwasiliana kwa ufasaha. Vinginevyo utaua wagonjwa kwani watashindwa kukuelewa.
 
Ccm mbere kwa mbere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…