marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
BugandoCUHAS ni chuo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BugandoCUHAS ni chuo gani?
Ndugu samahani lakini, kwani wewe ni mtu wa fani gani? kati ya hizo ulizotaja ulikuwa unawatrain interns? au zote?Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses ….based on the experience, students from MUHAS and CUHAS were the best doctors , pharmacist and nurses .
Wanafunzi kutoka vyuo tofauti na hivyo, ni majanga makubwa unajiuliza wewe unaendaje kutibu watu au unaendaje ku deal na dawa za binadamu?
Una mwambia prospective doctor achukue pathologic history, unabaki unashika kichwa, you meet a pharmacist anamwambia mgonjwa umeze Gynozol mbili mara tatu , shame ! ( gynozol is a medication need to be inserted through vagina).
Ukiuliza umesoma wapi utaambiwa ……..,,,vyuo fulan Fulani hivi na vile vyuo ambavyo unaambiwa chuo kipo gorofa ya nne
Ni kawaida siku hizi student with Flat D akawa enrolled kwenye medical field , it is a shame CCM inaenda kuharibu hadi mfumo wa elimu ya Afya,
tuna madaktari very low intelligence can’t even reason , we have pharmacist and nurses who cannot even notice medication errors zinazokuwa committed by doctors .
Ikiwa mtu mwenye D anaenda kusoma kozi za Afya , we need to go back kwenye drawing table or else let’s all perish.
Kwa ufaulu wa sasa, kama hauna C and above ilitakiwa usiruhusiwe kusoma course za Afya level ya Diploma , watanzania wanaangamia, ever wondered why now days magonjwa ya matajiri wanaumwa masikini.
Kwa mfano hii nchi ninayoishi, the best students let’s say A plus wanaenda kusoma Veterinary na Pharmacy, then best students with A wanaenda kusoma medicine , nurses and injinia.
How come tunaruhusu D Iende kusoma medical field , hivi CCM kwanini tunapenda ku play na mambo muhimu; last time tuliona ufaulu wa madokta was catastrophic , this time tunaona ufaulu wa pharmacist ni worse, ukipitia hiyo link ya mwananchi utaona matokeo yao , a student from certain universities in TZ Kutoa MUHAS na CUHAS utaona mtu amerudi mara 6 the same exams [emoji2099], such student baadae ataenda Hosp kumshauri mgonjwa…… where are we going CCM ?
MUHAS and CUHAS are the only conservatives universities, kusoma medicine nurses au Pharmacy .
MUHAS kama huna A za kutosha kwenye qualification entry zako, my friend sahau bachelor of medicine wala famasi.
Sasa Wakikosa MUHAS au CUHAS , pakukimbilia ni hivyo vyuo vinavoleta watu wanaenda kuwaaambia wagonjwa meza gynozol au anaenda kuandika pathologie kuwa a family has a history of falling down the trees ! Shame shame shame , problem !
Qualification entry za Course za Afya lazima ziangaliweUPYA , kwa level ya diploma you must have C or above in all subjects and for bachelor tuige mfano wa MUHAS na CUHAS .
Ni Umasikini tu wa black skin , I wished kwa Tanzania vyuo vyote vinavyohusu Afya viwe ni vya Serikali, ikitokea vya private , basi viwe BEST ya vyuo vya serikali lakini pia qualification entry ziwe standardized kwa Course za Afya .
Minimum criteria ziwe ni C for diploma , na minimum criteria for bachelor iwe ni A na B tu na kusiwe na C kwenye physic’s , math , bio, chemistry otherwise, tunatengeneza bomu and in few years tujiandae the consequences
health education system must be preserved at any COST
Professional bodies , mshike hapo hapo, msipitishe Uharo kwa expenses ya watanzania wasiojua chochote masikini.
Hongereni wafamasia, na sisi Madokta tuige mfano kupiga scrutiny za kutosha,kama lichuo linachukua F au D For the sake of money , piga PIN kwenye professional exams tu.
TAFAKARI MTANZANIA !
Ndugu samahani lakini, kwani wewe ni mtu wa fani gani? kati ya hizo ulizotaja ulikuwa unawatrain interns? au zote?
Mwenzio amekupa ushahidi alichokishuhudia alipokuwa Ocean road, wewe unaleta story za kuambiwa mitaani! Ila mleta mada mimi nitampinga kwenye A na D. Unalinganishaje na mitaala ya nchi zingine? Hiyo D ya hapa unaijua imekaaje?Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
Asisahau cathod ray oscilloscope pia inavyofanya kazi ni masuala ya radiation top ipo form 4 physics.Heart beat, pulse rate na device za kupima bloof pressure, unaikumbuka dopler effect?
Ultrasound unajua inafanyaje kazi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kaka umenifurahisha sana aisee.Mwenzio amekupa ushahidi alichokishuhudia alipokuwa Ocean road, wewe unaleta story za kuambiwa mitaani! Ila mleta mada mimi nitampinga kwenye A na D. Unalinganishaje na mitaala ya nchi zingine? Hiyo D ya hapa unaijua imekaaje?
Mungu nisamehe na wote mnisamehe! Sina nia mabaya ya kufedhehesha vyuo, hapana. Nimefanyisha wanafunzi kutoka UDOM, UDSM, SUA na vingine interview za ajira. Wakati huo tulikuwa tunaajiri kwenye institute yetu, then unapeleka majina hazina /utumishi wanaajiriwa na mishahara yao na mambo mengine.UDOM ndo chuo pekee kinachopeleka wanafunzi wake clinical area kwa mwaka mzima , DRs na Nurses, that is why they have a lot of exposure, hivyo experience wanapata za kutosha
Mh! umenikumbusha haya mambo.....dopler effect?
Shida yako ipo hapo kwenye bold,usually maskini hatupendani jamaa angekwambia anahudumu Mwananyamala au Amana pale Ilala usingeandika ulichoandika hapo juu,what if ameenda kuongeza elimu ili aje awafundishe vizuri?!Kinachokusumbua wewe ni wivu na roho mbaya, kama unaona huruma usingekimbilia nje ungebaki kutibu watu wa nchi yako, wewe ni kati ya wale jamaa washamba sana.
Wanachojali ni kuandika madawa mengiiii na mengine yanafanya kazi moja tu,ili mradi bills iwe kubwa,wapuuzi sana privateShida yako ipo hapo kwenye bold,usually maskini hatupendani jamaa angekwambia anahudumu Mwananyamala au Amana pale Ilala usingeandika ulichoandika hapo juu,what if ameenda kuongeza elimu ili aje awafundishe vizuri?!
Alichoandika mleta mada yupo sahihi sana,na hao makanjanja ndiyo wamejazana huko private nina mwanangu aliungua moto nikajichanganya kumpeleka private nilijuta.kitu hawana idea nacho wanakwambia hapa sisi ndiyo amefika huyu week tu mpya wakakaa nae siku nne hakuna walichofanya wananiambia hatumuwezi.
Your justification is based on which ground?Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
Mungu nisamehe na wote mnisamehe! Sina nia mabaya ya kufedhehesha vyuo, hapana. Nimefanyisha wanafunzi kutoka UDOM, UDSM, SUA na vingine interview za ajira. Wakati huo tulikuwa tunaajiri kwenye institute yetu, then unapeleka majina hazina /utumishi wanaajiriwa na mishahara yao na mambo mengine.
Mnisamehe, the worst candidates were fro UDOM. Mnisamehe! best walikuwa kutoka SUA na MUHAS! Sikuwahi kukutana na CUHAS
UDOM ilikuwa shida sana tena sana. Na kweli ukienda kwenye makundi ya whatsapp ukaona presentation ya mtu kutoka ODOM , utasikitika.
To crown it all, kuna kijana ninayemfahamu, namfahamu fika sana. A weak student. Very weak so to say, Leo ni lecturer UDOM!
Nchi yetu hii,ukienda na mgonjwa hospital yoyote iwe Muhimbili au Aga Khan zinazoaminika,ukiambiwa kuna operations ujue ni kamari na huyo ndugu yenu haponi.....unaogea na doctor nayeye anakuomba ushauri mtu wa HKL nini kifanyike.
Kama unashida fulani na unakipato,nenda India tu,hapa Bongo unakufa huku unajiona,kuna Mama yetu alikwisha andika hadi urithi, alikuwa anatibiwa Aga Khan,baada ya mtu mmoja kushauri aende India,na wanafamilia kuchanga ili aende,alipofika kule baada ya vipimo,wakashangaa Madaktari wa Tz walikuwa wanatibu jambo ambalo si tatizo,wakashangaa sana....yule Mama baada ya miezi 2 akapona kabisa,mwezi wa tatu akarudi Bongo, anaendelea kula bata fresh kabisa
Sekta ya Afya Tz inawezekana katika vifo vya watu 100,incompetence ya wahudumu inawezekana ikawa inachangia vifo vya watu 15
sasa hivi wanagawa uprofesa kama njugu, chunguza taona ukweli wa hiliDuh , people can’t understand
I tell you hivi vyuo vichunguzwe snaa
MUHAS wana culture sana ya sélection only critical na wanaangalia sana Hesabu during selection , ukipata A in mathe, na masomo mengine uka maintain , wanakuchungua
Sio kwamba hakuna wanao disco , Wapo wengi sababu hawasomi, MUHAS na SUA wapo makini kwenye selection
Haya machuo kama kampala imtu St. John nimekutana snaa na products zao ni catastrophic kweli kweli . Sasa policy ya nchi ni I hovyo
Mtu anaenda kusoma Afya with D na F mambo ya aibu snaa ,
Kampala [emoji24][emoji24][emoji24]hapa ndio huzuni kubwa
First of all what is psychomotor?Hii ndio cognitive
What about psychomotor