MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

Ni zaidi ya hiyo 15 ( kwa-maoni yangu)
 
CUHAS IS TRASH..... kafanye tena research yako
Pharmacy is worst
MD is worse
 
Asante umeelezea vyema...ila si vizuri kumshambulia mtu bali shambulia hoja na utoe shule.
 
Ulipotaja CUHAS tu nikajua hujui unachokiongea. Miongoni mwa vyuo vina products zenye ubora mdogo ni CUHAS . At least KCMC inapokuja kwenye kazi za mikono na practical wanatoa Madaktari wazuri sio CUHAS
Nimelia sana kusikia CUHAS ati inatoa best products 😄 🤣 😂 😆 😄
 
Inshort sector ya afya ya Bongo is full of MEDIOCRITY AND INCOMPETENCE
sisi ambao bado ni vijana tujitahidi kuishi maisha yenye kujali afya na tuitafute pesa kwa nguvu zote..... walau umri ukisogea mtu unakua unafly tu DUBAI kutibiwa na kucheki afya.
 
Mkuu kumbe na wewe ni mdau

Mimi nilidhani wewe ni mwanasheria
Nimesoma sheria 7 yrs before kutaafu, nina idea huwezi kunidanganya katika sheria .

Unajua University education/knowledge huwezi kuiweka kichwani yooooooooooooote. Unachotakiwa kujua ni wapi unaweza kupata majawabu na namna ya kuyapata unapokutana na swali.
 
Africa graduates and universities contribute to about 1.4% of the global scientific knowledge......kazi kujivimbisha bichwa komwe tuu akili kisoda.....kulinganisha vyuo n utopolo ...........nb nmesoma UDSM.... ....
 
Ungekutana na products ya intern Nurses na intern DRs kutoka UDOM , ungeiweka UDOM ya kwanza ,they have a lot of exposure in clinical setting and a lot of confidence 💪💪💪 UDOM is the best in Tz kwa course za afya
I second you, We are the best!
 
One difference that I noticed Ulaya vyuo vingi hakuna group presentation, mnadiscuss as group na kuandika individual paper na kupresent as an individual mbele ya darasa, unapigwa maswali hadi mbele huoni. Ukitoka hapo chuo umeiva everything you learn unaweza kuelezea kwa kichwa bila kushika kitabu.

Bongo kuna students wengi hujificha kwenye kichaka cha group presentations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…