Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kama ambavyo NEC ilivyoamua Watanzania tusiwe na rais kwa miaka mitano!... Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
Mimi siyo Kibonde wala Gerald bali ni mwana-Mbeya niliye na uchungu wa maendeleo. Nasema kuwa jimbo liko wazi na sisikitiki kwa Hali hiyo kwa kuwa ni wana Mbeya ndiyo waliomchagua ingawa hawategemei kuwa atawaletea maendeleo yoyote. Kwa muda hui mfupi tumeona wabunge vijana wa vyama vya upinzani wanavyojenga hoja zenye mvuto na wanavyosimamia maendeleo ya majimbo yao kama vile Godbless Lema, John Mnyika, Kafulila, na Mary Mwanjelwa (viti maalum). Ila Mbunge Joseph Mbilinyi ameonekana akipamba vijarida vya udaku juu ya uhusiano wake na Shrose Bhanji, mara akiongelea namna ya kudai studio ya muziki ambayo JK aliwaahidi wanamuziki. Vilevile ameahidi kushughulikia haki za mradi wa Malaria No More. ameahidi vilevile kutoa part 2 ya anti virus. Sasa kama wewe unapenda maendeleo ya Mbeya, kweli Kati ya hayo kuna kitu kweli ambacho kinawagusa wananchi wake? Sanasana anaonekana amejawa na kisasi kwa wale waliomdhulumu haki zake na anataka atumie kofia hiyo ya ubunge kuzipata. Na hapo ndiyo nashawishika kusema jimbo la Mbeya liko wazi. Najua Kauli hii haiwapendezi wana CDM lakini chukueni hii Kama 'Wake Up Call' kwa vile bado mapema anaweza akajitekebishaWewe aidha in GERARD HANDO au EFRAIM KIBONDE......maana jamaa anawanyima usingizi hata mabosi wenu
Kweli Jabulani unachosema ni sawa. Kama kuna ombwe la mkuu nchi, then kwa nini upoteze muda wako kufikiria kichagua mbunge makini? Na ukipitia majimbo mengi hususan yale yanayoongozwa na wenye elimu ya msingi kama Njombe ya akina Nyimbo, Njombe ya akina Makweta, Iringa ya akina Monica Mbegga na Rorya ya akina Sarungi, utagundua kuwa wananchi wa maeneo hayo walishachoshwa sana na CCM hivyo wakapiga kura za ghadhabu ili tu kuelezea hisia zao kwa jamii. Kwa dunia tuliyopo sasa ni kwa miujiza tu mbunge mwenye elimu ya darasa la 7 au kidato cha 4 cha akina Sugu, Lameck au Jah People kuweza kuongoza maendeleo ya jimbo
Hatimaye lile bunge tukufu leo limeanza tena vikao vyake mjini Dodoma leo, muheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini AKA Sugu anashusha vina kuhusiana na makabila ya nchini Tanzania.
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
Mimi siyo Kibonde wala Gerald bali ni mwana-Mbeya niliye na uchungu wa maendeleo. Nasema kuwa jimbo liko wazi na sisikitiki kwa Hali hiyo kwa kuwa ni wana Mbeya ndiyo waliomchagua ingawa hawategemei kuwa atawaletea maendeleo yoyote. Kwa muda hui mfupi tumeona wabunge vijana wa vyama vya upinzani wanavyojenga hoja zenye mvuto na wanavyosimamia maendeleo ya majimbo yao kama vile Godbless Lema, John Mnyika, Kafulila, na Mary Mwanjelwa (viti maalum). Ila Mbunge Joseph Mbilinyi ameonekana akipamba vijarida vya udaku juu ya uhusiano wake na Shrose Bhanji, mara akiongelea namna ya kudai studio ya muziki ambayo JK aliwaahidi wanamuziki. Vilevile ameahidi kushughulikia haki za mradi wa Malaria No More. ameahidi vilevile kutoa part 2 ya anti virus. Sasa kama wewe unapenda maendeleo ya Mbeya, kweli Kati ya hayo kuna kitu kweli ambacho kinawagusa wananchi wake? Sanasana anaonekana amejawa na kisasi kwa wale waliomdhulumu haki zake na anataka atumie kofia hiyo ya ubunge kuzipata. Na hapo ndiyo nashawishika kusema jimbo la Mbeya liko wazi. Najua Kauli hii haiwapendezi wana CDM lakini chukueni hii Kama 'Wake Up Call' kwa vile bado mapema anaweza akajitekebisha