Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😂😂😂Kura za Muheza zinahitaji ulinzi kuliko almasi
Dada ni halima mdee wa 2010 hatari Iron lady ...atupe namba tumchangie sadaka ya ukombozi
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hata Hitler aliamini Ujerumani ni taifa lenye nguvu zaidi Duniani lakini yaliyompata kwenye WWII hakuyaamini.Dada "mkavuu" kwa Ubishi...
Sasa Kuna Ulazima Wa FA kukaza...Jimbo ALIBEBE.....
Aaagh Kwani nn bnaa,Tanga na Wilaya zake ni STRONG ROOM ya CHAMA KUBWAAA....
😁😁Hata Hitler aliamini Ujerumani ni taifa lenye nguvu zaidi Duniani lakini yaliyompata kwenye WWII hakuyaamini.
Kwa Hiyo Wapiga Kura Huku Majimboni Wanaangalia BRIGHTNESS ya mgombea?Huyu dada yuko bright sana FA rudi kwenye muziki hizi kazi muachie mtaalam akusaidie.
Kwahyo mumekubali tume ya uchaguzi sio mali ya ccm kama chadema walivyokuwa wanaimba ngonjeraa.Huyo muuza sura wa Bongo fleva hajui hata hilo jimbo lina kata ngapi, yeye kaingia kwa ladies free kama nape na January.
Kwi kwi kwi 😂😂 Yaani Mzuri Awe Na Rangi Ya Mtume Looh kweli We Msukuma Wa Bariadi...Kumbe ndio huyu nakumbuka mwishoni mwa bunge alikiwasha hadi ndugai akapanik na kumtoa nje, pia ni kazuri jamani kana rangi ya mtume
Kwi kwi kwi [emoji23][emoji23] Yaani Mzuri Awe Na Rangi Ya Mtume Looh kweli We Msukuma Wa Bariadi...
Sijakuelewa Ulivyosema Ni "kazuri" kana Rangi Ya Mtume?!!Nahisi hujanielewa Jo.
Sijakuelewa Ulivyosema Ni "kazuri" kana Rangi Ya Mtume?!!
Ok Jo
Unaongelea uchaguzi wa Marekani au TZ?Mwana FA nilikupenda sana ila myfriend muziki wa huyo mtoto wa kike ni habari nyingine, anacheza na jukwaa anamwaga sera kwa vina kama vile wewe ukiwa stejini unavyo-rap, sasa juzi nimekuona umeshika mic Muheza unatetemeka sijui itakuwaje jamaa yangu.