Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Loooh Huyu Yosefa Karudi?!!!

Nilijua Chama Kubwa Lishashinda aiseee...

Sasa inabidi FA na timu yake WAKAZE haswaa....no maskhara
 
Huyu dada yuko bright sana FA rudi kwenye muziki hizi kazi muachie mtaalam akusaidie.
 
Huyu dada yuko bright sana FA rudi kwenye muziki hizi kazi muachie mtaalam akusaidie.
Kwa Hiyo Wapiga Kura Huku Majimboni Wanaangalia BRIGHTNESS ya mgombea?

MwanaFA mwenyewe si "zwazwa" ukijumlisha na UMAARUFU WAKE ukijumlisha na WATU WA TANGA... specifically Muheza kuwa LOYAL kwa CCM miaka nenda RUDI.

Sioni FA akimuachia Jimbo Dada Yosefa Hata Kama Yosefa Ni Mkazi Wa Muheza. Wako WABUNGE Wengi Hawaishi Majimboni...Hv Mwenyekiti Mbowe Anaishi HAI eee?!!!😁😁
 
Mwana FA unahitaji ''back up" kutoka makao makuu ya chama chako na Nec ili mwishowe utangazwe mshindi maana ukizembea itakula kwako.
 
Hapa ....Muheza tunaenda na✌✅

Mwanafa endelea kutenganisha mavi ya panya kwenye unga.
 
Kumbe ndio huyu nakumbuka mwishoni mwa bunge alikiwasha hadi ndugai akapanik na kumtoa nje, pia ni kazuri jamani kana rangi ya mtume
Kwi kwi kwi 😂😂 Yaani Mzuri Awe Na Rangi Ya Mtume Looh kweli We Msukuma Wa Bariadi...
 
Tena ana kithembe flani hv , mabaharia watakubaliana na mimi wadada wenye vithembe huwa ni watamu sn kwenye bedroom, wanakuwa na added insensitive hasa wanapolamba joka,

Tumchague kwa kura nyingi huyu shore
 
Mwana FA nilikupenda sana ila myfriend muziki wa huyo mtoto wa kike ni habari nyingine, anacheza na jukwaa anamwaga sera kwa vina kama vile wewe ukiwa stejini unavyo-rap, sasa juzi nimekuona umeshika mic Muheza unatetemeka sijui itakuwaje jamaa yangu.
Unaongelea uchaguzi wa Marekani au TZ?
wapiga kura wa TZ nani anasikiliza hoja ndugu! FA anapita sababu ni maarufu [emoji1787]
 
Chadema ina wadada, wamama warembo balaa afu wanajiweza kisiasa, 2025 nawaza nikagombee jimbo lipi nikiwa hai
 
Back
Top Bottom