Huyu dada nimemfahamu huko tweetani lakini nimejikuta nampenda sana jamani, mfikishieni salamu zangu na nawaombeni sana masela wangu mnisaidie kumpa kura kwani mimi siyo mkaazi wa Muheza hivyo sina msaada kwake. Yosepher unajua sana.
Ushindi ni mikakati siyo jukwaani tu, hataweza mikakati ya ccm, atapendezesha jukwaa lakini kura xitaenda kwa mwana FA kwa sababu amezungukwa na timu ya ushindi