Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Huyu dada nimemfahamu huko tweetani lakini nimejikuta nampenda sana jamani, mfikishieni salamu zangu na nawaombeni sana masela wangu mnisaidie kumpa kura kwani mimi siyo mkaazi wa Muheza hivyo sina msaada kwake. Yosepher unajua sana.
 
Akipita huyu atakuwa mfuniko bungeni, upendo peneza ni mweupe sana kwa huyu dada to be honest.
 
Daah nilivyosikia huyu dada karudishwa nilimuonea huruma mwanafa yaani huyu ni mwanasiasa haswa sio yule bongofleva.Hiyo ngoma ngumu kweli kwake,dada yupo vizuri anajua kujunga hoja ngoja tuone mpambano
 
Back
Top Bottom