Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Una uhakika hana maisha mengine. Watu wa chadomo hamna kitu zaidi ya siasa? No reporn no errectionKweli binadamu tupo tofauti sana yaani unataka kumtenganisha mwanadam mwenzako kichwa na kiwiliwili kisa madaraka ambayo tayari uko nayo?
😀😃😃 Unaweza usiwe na shida ukashangaa tu paaap unapelekwa mikumiKwani mimi nina shida gani mpaka ya kutekwa bro😅😅😅
Sio kweli mikumi nitaenda ndio ila na mtoto mzuri pembeni 😛😀😃😃 Unaweza usiwe na shida ukashangaa tu paaap unapelekwa mikumi
Wanasema eti ugali ni mtamu sana, halafu wana familia zinazowategemea.Jamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?
yani na policcm nowdays hawatoi kibali cha kuwa na private gun kirahisi, mtu unanuna gun kwa ajili ya kujilinda, unaenda kuisajili but procedure ni ndefu na maswali yaso na msingi wanadhani kila mtu anaenunua silaha ni muuaji akati ni kujilinda, sheria za hovyo sana[emoji34]
Kum***na zaoWanasema eti ugali ni mtamu sana, halafu wana familia zinazowategemea.
Ukweli yaonekana kuna jambo kubwa na zito linafichwa sehemu, hofu ya wakubwa ni kelele za hawa watu zinaweza kulifichuaKweli binadamu tupo tofauti sana yaani unataka kumtenganisha mwanadam mwenzako kichwa na kiwiliwili kisa madaraka ambayo tayari uko nayo?
Wewe ni Tomaso?Hii habari imetoka kwa maria sarungi, ukiivaa hovyo hovyo umekwenda na maji. Simwamini hata kidogo tangu acheze ile movie yake iliyobuma.
Hivi amewahi kuoost chochote kuhusu mauaji ya kule Kenya?!!!!
Nje sita zimeshika Ak47Wale wahuni wakija mkuu wa kuku utauona sindano. Imagine njemba 6 na bunduki zao!
🥺🥺🥺🥺Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Hatari!Nje sita zimeshika Ak47
Kama pesa ipo mkuu hakuna mambo mengi unapewa tu chuma chakoyani na policcm nowdays hawatoi kibali cha kuwa na private gun kirahisi, mtu unanuna gun kwa ajili ya kujilinda, unaenda kuisajili but procedure ni ndefu na maswali yaso na msingi wanadhani kila mtu anaenunua silaha ni muuaji akati ni kujilinda, sheria za hovyo sana[emoji34]
Hatari sana aiseeHii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434