Muasisi wa haya yote ni yule Msukuma Mmoja Mshamba aliyetangulia mbele ya kitu cha hukumu 17/3 /2021 na chimbuko la taswira mbovu ya TanzaniaHivi mtu nafsi yako inajisikiaje kuwa wewe ndio sababu ya umauti wa mwenzako kwa kutumiwa na watu wa utawala.....yaani baada ya kuitenda kazi hiyo unarudi nyumbani unakaa na familia unacheka kabisa......yaani unakula ugali na unashuka kabisa kooni.....
Yaani unaona kwenye TV kuwa kuna maiti imeokotwa kwenye kiroba...na wewe unajisemea kuwa ni kazi ya mikono yangu...... unawaona mke na watoto wake wakilia kwa uchungu......
Mwanasiasa aliyekutuma watoto wake wanasoma ulaya wewe wanao wanagombania daladala.......baada ya mauaji unarudi nyumbani kwako ambayo ni duni huku boss wako akirudishwa nyumbani na V8.....
Miaka mingi inakatika na hatimaye unastaafu kazi unaanza kupigania kiinua mgongo chako chenye damu za watu....aliyekutuma serikali ina mtunza na pengine ana apartments za kupangisha huko masaki anakula kodi na kwenda kujivinjari nchi za ulaya....... hatimaye kwa msongo wa mawazo unapigwa na stroke na kisukari unakufa.....
k*ma mama zao waliofanya huu unyama na aliyewatma piaHii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Shetani alikuwa muuwaji tangu mwanzoHii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Basi hauna kitu Mkuu haya mambo ni hatari sanaKwani mimi nina shida gani mpaka ya kutekwa bro😅😅😅
Hii Haiwezekani mkuuWalimfata huko huko wodini tena
Ndiyo wakatenda hivyo
Ova
Mkosoaji wa serikali kama akina MdudeHiini nini na imetokea linina huyu ki nani hasa?
Anakosoa saana na kwa lugha kali...Si mchezo, jamaa kakosea wapi hadi afanyiwe hivi?
Naye Ana mitusi?Mkosoaji wa serikali kama akina Mdude
Hata matara alikua anasema wakimteka ataua mmoja waoJamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?