Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Aiiseeh
This is so bad!Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
OMG! This is too much..😐Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Unataka ununue silaha ili uanze kuteka watu?yani na policcm nowdays hawatoi kibali cha kuwa na private gun kirahisi, mtu unanuna gun kwa ajili ya kujilinda, unaenda kuisajili but procedure ni ndefu na maswali yaso na msingi wanadhani kila mtu anaenunua silaha ni muuaji akati ni kujilinda, sheria za hovyo sana[emoji34]
Timing kaka, Timing.
Who is this guy?Hii ni hatari saana.View attachment 3391433View attachment 3391434
Nipo tayari piaJamani kwani kuna nini?
Mbona jamaa ni mtu masikini tu.
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuwa kama Kenya?
Mimi Niko tayari Kwa maandamano.
Wewe je?
kifo ni kifoThis is so bad!
Sidhani kama kuna mtu timamu atafurahia huu ukatili kwa binadamu mwenzake!
Mungu tenda jambo!