Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

huyu jamaa alikuwa na press flani flani hivi nikajua tu wakuu hawatapenda atagharamika sio siku nyingi.

baada ya kutoka jela ni kama aliamua kugeukia maisha yake,waliomtoa wakaanza kumjaza upepo kwamba analala wakati mifumo mibovu ya haki ilimgharimu,anatakiwa kupigia kelele,nadhani hapo ndipo aliingia vitani rasmi mpaka kufikishana huku na wadau.
Wadau sio watu wazuri aisee
 
Wale wahuni wakija mkuu wa kuku utauona sindano. Imagine njemba 6 na bunduki zao!
Nakuambia watakimbia na bunduki, wakianza kugonga mlango usiku ukawaambia waondoke warudi mchana halafu hawataki na umehisi hatari, pitisha kama tatu hivi kati kati ya mlango uone nani atabaki... hata wao ni watu kama wengine...

Kuingia ndani kumvamia mtu kama ana silaha probability ya kudhurka walio nje ni kubwa..
 
Inashangaza sana jamaa amepona maana huo mkato ilikuwa wamuue aisee!
Ina maana mshipa mkubwa wa damu haukuguswa..
 
Back
Top Bottom