Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

Haya mauaji ni ya kimatangazo. Mauaji yanafanyika kwa mtindo ambao unamfanyia marketing muuaji as if muuaji anataka kujulikana kiwepesi mno kuwa ameua au amefanya jaribio la mauaji kutokana na mtindo wake. Swali ni kwanini wahusika/mhusika anataka mauaji ya public attention?
 
Hawa vijana wanaharakati wasipokuwa makini haya magenge ya kina Maria yatazidi kuwapukutisha ili kupata political mileage. Mtu kama Matarra jinsi anavyotukana huko Twitter kuna uwezekano mkubwa kafanyiwa unyama na genge la Maria Sarungi ili lawama ziende kwa serikali.... vijana kuweni makini mitandaoni. Hao mnaowaamini ndo hatari zaidi.
 
Pole yake sana , ila tupunguze kuongea.
Naanza kukumbuka story za Nakasero Den.
Kule kwa Idd Amin.
 
Pumbavu
 
Unajiona uko salama sana, kuna nyuma geuka wa mwisho wanakuwa wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…