Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Safi sana Kwa kutusogezea hiyo huduma karibu maana wengi tunahangaika sana
Waangalie garama angalau tuweze kumudu
 
Sijui biblia inasemaje kuhusu hiyo kitu ila kama si dhambi itabidi niende nikapandikize[emoji125][emoji125]
 
... mimba halali ni ile inayotungwa kwa manii kuingia tumbo la uzazi baada ya uume kupenya ukeni; hiyo ndio njia pekee aliyoumba Mola wetu kuendeleza kizazi na sio vinginevyo.
Kweli asee, hawa madaktari wetu si ndio waliowahi kukosea wakamfanyia mgonjwa operation ya kichwa na wakati alikuwa amepangiwa kufanyiwa operation ya goti, sijui kama mbegu za watu zitakuwa salama, kuna hatari ya kuwekea mbega za daktari wa mloganzira
 
Basi wale ambao hawajabahatika kuolewa au kuoa na wenye upungufu wa nguvu za kiume Basi nafikili hii itawasaidia.

Kwa vipi ?

Naona kama utakuwa umechanganya na ile njia nyingine ya uzazi iitwayo Surogation!

Wao wamesema kuhusu IVF, ni vitu viwili tofauti kabisa!
 
Ni watu wachache sana wataweza gharamia ili kupata hiyo huduma.

Naona wadada wanashangilia wanadhani unaenda na elfu 10 yenye tembo unapanua unawekewa mbegu...

Its a long process, nitaelezea nikipata muda..
Kwa hiyo umeambiwa process hizo sisi hatuziwezi?
 
Back
Top Bottom