Muhimbili kuanza kutibu Wanaume wenye matiti

Muhimbili kuanza kutibu Wanaume wenye matiti

Uko sahihi,mimi naona hapa inawahusu wale ambao wana unene wa kurithi,lakini unakuta mtu ana unene wa kula mi chipsi,pombe na nyama,kajiachia kawa mnene kizembe,sidhani kama ni wote wa kufanyia operaesheni,wengine kama wakitoa uvivu wao,mazoezi yanaweza kurudisha miili yao ikawa vizuri...
💯
 

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mlongazila, imesema huduma ya kupunguza uzito na upasuaji rekebishi zinazotarajiwa kufanyika hospitalini huko, zitahusisha pia wanaume wenye maumbile kama matiti.

Mkuu wa Idara ya Upasuaji MNH-Mloganzila, Dk. Eric Muhumba, alibainisha hayo na kueleza kuwa huduma hizo kama alivyoeleza awali, zitatolewa kwa siku mbili kuanzia Oktoba 27 mwaka huu.

"Huduma hii ya kupunguza uzito ni kwa jinsi zote mbili kwa kuwa kumekuwa na minong’ono kwamba, mbona mmependelea wanawake. Huduma itafanyika kwa watu wote wenye uzito mkubwa," alisema.

"Tumeona wanaume kwa bahati mbaya inatokea miili yao wanakuwa kama wana matiti badala ya kifua cha kiume, nao watafanyiwa upasuaji rekebishi katika siku hizi mbili," alisema.

Bingwa huyo aliwatoa hofu Watanzania kwa kuwaeleza kuwa, upasuaji huo ni salama na ni sawa na upasuaji mwingine unaofanywa hospitalini huko.
hii kitu ni ya muhimu sana, nilishawahi kuta kwenye shule moja, kijana ana sura ya mwanamke kabisa hadi matiti yanaota, ila ni mwanaume. nilimwonea huruma sana, na anaonekana anajisikia vibaya.
 
hii kitu ni ya muhimu sana, nilishawahi kuta kwenye shule moja, kijana ana sura ya mwanamke kabisa hadi matiti yanaota, ila ni mwanaume. nilimwonea huruma sana, na anaonekana anajisikia vibaya.
Sure, nilishawahi kumbana na kijana wa hvyo yani hd nkaishiwa pozi mkuu

Homornal imbalance nahc ndio inapelekea Hali hyo ya wanawake kuwa na muonekano wa kiume na wanaume kuwa na muonekano wa kike
 
Kwann uandikie mate na wino upo wew, embu njoo huku nkunyamazshe nkutie dozi [emoji3]
Kama usingekua na manyonyo usingepanic kwenye comment yangu, katoe hizo nyonyo mshaletewa huduma hadi mlangoni, mnataka nini tena jaman
 
Back
Top Bottom