Umekubaliana na nani wewe zoba. Kama huelewi soma bandiko jingine.Si tumekubaliana lugha ni Kiswahili sasa swanglish ya nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekubaliana na nani wewe zoba. Kama huelewi soma bandiko jingine.Si tumekubaliana lugha ni Kiswahili sasa swanglish ya nn
Kiingereza hukijui na Kiswahili hujui umebaki kuajiandikia hovyo dogo punguza kujifanya we wa OxfordUmekubaliana na nani wewe zoba. Kama huelewi soma bandiko jingine.
Kiingereza kipi sijui? Na Kiswahili kipi? Tumekubaliana kuandika Kiswahili ambacho sijui? Kasarobo!Kiingereza hukijui na Kiswahili hujui umebaki kuajiandikia hovyo dogo punguza kujifanya we wa Oxford
Acha kelele dogoKiingereza kipi sijui? Na Kiswahili kipi? Tumekubaliana kuandika Kiswahili ambacho sijui? Kasarobo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza.
Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano hadi 10.
Ili mtu aweze kujifukiza katika mashine hizo anapaswa kulipia Sh5,000 na yeyote anaruhusiwa hata wapita njia.
Akizungumza katika uzinduzi wa mashine hizo zilizopewa jina la Bupiji Sauna leo Alhamisi Machi 4, 2021 mkurugenzi mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Museru amesema kuanzishwa kwa mashine hizo kutarahisisha upatikanaji wa huduma ya kujifukiza kwa watu wote wanaohitaji.
“Kujifukiza huku kunaenda sambamba na matumizi ya dawa za asili ambazo zimekuwa zikitumiwa na zimeonyesha kusaidia, mashine hii inatumia dawa ya Bupiji inayowekwa katika maji ya mvuke na mgonjwa au mtu anayetaka anaingia ndani atakaa dakika tano hadi 10,” Profesa Museru.
Profesa Museru amesema uwepo wa mashine hizo kutawawezesha madaktari kujua kama njia hiyo inasaidia kwa kiwango gani vita dhidi ya corona.
Mwananchi
---
PICHA ZA MUONEKANO WA MASHINE YA KUJIFUKIZA
View attachment 1717891View attachment 1717892View attachment 1717893View attachment 1717894