Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

Mbona maelezo hayaeleweki vizuri - madakitari wanasema bado hawahajua vizuri ufanisi wa mashine hizo hukoje? Sasa kama madaktari hawaja zifanyia utafiti wa kitosha kwa nini mashine zinafingwa Muhimbili na Mloganzila-nani katoa kibari cha kutumia mashine ambazo bado ni umproven kama kweli ni effective?

Kitu kingine ambacho nakiona ni hatarishi, je, watu wenye matatizo ya pumu, mapafu,moyo na wazee eanawrza kweli kufungiwa kwenye SAUNA yenye oil essentials bila ya kudhulika - mambo mengine tuwe makini sana, kama ni suala la biashara basi wafanye tafiti za kutosha kuhusu kundi nililo taja hapo juu.
 
MITANO TENA

bitanu

FIVE MORE

5+

还有五个

पाँच और
 
Kiingereza hukijui na Kiswahili hujui umebaki kuajiandikia hovyo dogo punguza kujifanya we wa Oxford
Kiingereza kipi sijui? Na Kiswahili kipi? Tumekubaliana kuandika Kiswahili ambacho sijui? Kasarobo!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…