Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

Kwa hospitali kuongezeka kwa malipo ni maboresho

Kwa mgonjwa ambaye anapata matibabu kwa kuunga unga ataita naye maboresho?
 
Nini Muhimbili!! Mtu anapelekwa Ulaya kutibiwa anakufa na mwingine anapelekwa zahanati ya makunduchi anapona fresh tu,
Mungu ndio Mpangaji wa Kila kitu..
 
Siku Hizi Ugonjwa Umekuwa Anasa Yaani Tanzania Hawatafuti Namna Ya Kutibu Watu Ila Cash
 
Najua kuna hadi wodi za VIP, sasa iwekwe wazi tuwe na mochwari za VIP. Manake haiwezekani mgonjwa wa VIP akifa akae mochwari moja na aliyefia mwaisela.
 
Naona bwana lishe janabi ameona hatutaki kula mbilimbi na kachumbari for breakfast lunch and dinner, ameamua kuongeza gharama ili tuanze kula anavotaka kwa makusudi tukwepe gharama.
Ukichimama nchale, ukikaa nchale..
 
Dr.Janabi futa hiyo kitu Haraka sana.Wakati wa Nyerere saa hizi wewe kazi kwisha ! Ungesharudi Bagamoyo kukwea minazi !
Mama Samia usikubali upuuzi huu !
Binadamu wote tuko sawa hakuna cha VIP wala nini
Hakuna hio kitu kuwa binadamu wote ni sawa 😂😂😂 hata nyumbani kwako tu hampo sawa
 
Hii nchi ishakua na mambo ya gskvd¥gsy€hja¥eh sana...☹️
 
Back
Top Bottom