Hata mimi nimeiona. Ila utakuta huko Bank ana proper signatureJanabi ana signature ya hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeiona. Ila utakuta huko Bank ana proper signatureJanabi ana signature ya hovyo.
Mtasusa vipi wakati mkishauliwa msile ugali mnakuwa mbogo?Dawa yao tususie kuumwa
Halafu tuone hizo hela za VIP watapata wapi hao Muhimbili
Niko nje ya mada samahani. Ivi madaktari wanaotibu VIP ni walewale wa average au ni vichwa tofauti??Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la wagonjwa wa nje inayoitwa 'NOPD VIP', bei ya kumwona Daktari kwa Kliniki kwa sasa ni Shilingi 100,000/=.
Mgonjwa wa Malipo Taslimu 'Cash' atatakiwa kulipia kwa Control Namba ya kiasi kama inavyoonyesha kwenye Jedwari. Aidha, Wagonjwa wa Bima watakaohitaji kuonwa kwenye Kliniki hii watalipa kama Jedwari linavyoonyesha hapo chini.
View attachment 2965279