Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la wagonjwa wa nje inayoitwa 'NOPD VIP', bei ya kumwona Daktari kwa Kliniki kwa sasa ni Shilingi 100,000/=.
Mgonjwa wa Malipo Taslimu 'Cash' atatakiwa kulipia kwa Control Namba ya kiasi kama inavyoonyesha kwenye Jedwari. Aidha, Wagonjwa wa Bima watakaohitaji kuonwa kwenye Kliniki hii watalipa kama Jedwari linavyoonyesha hapo chini.
View attachment 2965279