JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Sasa mbona na wewe hujachangia lolote zaidi ya kulalamika?2:40(HRS and 30 minutes) wachangiaji ni wanne tu[emoji848][emoji57] kweli Bongo waletee umbeya wa habari mbaya au ngono ndipo utawajua vizuri [emoji23][emoji119]
Alikua anasubiri wengine wachangie kwanza,sasa sijui tofauti yake na wasio changia ilikua ni nini?Sasa mbona na wewe hujachangia lolote zaidi ya kulalamika?
Wape basi hongera wataalam wetu wa afya, na Mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai...