Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati wadau as me sipo online kuchangia kutokana na mapambano ya maisha na kutafuta shs ya kununulia bundle.2:40(HRS and 30 minutes) wachangiaji ni wanne tu[emoji848][emoji57] kweli Bongo waletee umbeya wa habari mbaya au ngono ndipo utawajua vizuri [emoji23][emoji119]
Jiwe gizani [emoji847]Sasa mbona na wewe hujachangia lolote zaidi ya kulalamika?
Wape basi hongera wataalam wetu wa afya, na Mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai...
Mshono umepigwa na kitu kizito [emoji375][emoji13]Alikua anasubiri wengine wachangie kwanza,sasa sijui tofauti yake na wasio changia ilikua ni nini?
[emoji23][emoji23]
Kweli kabisa, lakini si unaona maendeleo ya huu uzi tangu leo asubuhi hadi sasa hivi [emoji848][emoji1787]Kuna wakati wadau as me sipo online kuchangia kutokana na mapambano ya maisha na kutafuta shs ya kununulia bundle.
Mada great kama hii unaweza kuona wadau tumeipotezea ila baadaye sana inapata wasomaji wengi hata kama komenti hamna.
Madaktari bingwa waliofanya kazi wote walitoka nje wetu walikua 'saidia fundi'Safi sana jopo la wataalamu kutoka MNH.
Kaikuta JKCI, MOI, MNHTunaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya JPM kwa kuboresha miundominu ya afya.
Alizikuta zikiwa na hali gani?Kaikuta JKCI, MOI, MNH
View attachment 2278345
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza kuwa upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana umefanyika kwa mafanikio.
Watoto hao Rehema na Neema walikuwa wameungana kifuani na upasuaji huo umefanyika leo Julai Mosi, 2022 chini ya Wataalam wa Afya 31.
Awali, Mtaalam wa Magonjwa ya Watoto-Muhimbili, Dkt. Petronila Ngiloi alisema watoto hao walikuwa na muunganiko mkubwa wa Ini na kuna uwazi mkubwa katika Kitovu wanachotumia pamoja.
Pia soma > Watoto pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili, leo Julai 1, 2022
HakikaNi taarifa njema
mimi bado najiuliza sana maana walisema baadhi ya viungo wana share sasa sijui yupi walimwachia kipi na yupi walimuondolea...!?Sasa wote wamefariki dunia. Sijui walijua wanatenganisha panda hao madaktari! Au walikuwa wanatafuta umaarufu!!