Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio

Mama wa hawa watoto ni binti mdogo sana, niliwahi kushinda naye pale MNH W no 40, alikuwa positive kuhusu watoto wake na aliambiwa atapona mtoto mmoja tu. Kama wamepona wote Mwenyezi Mungu na ahimidiwe.
 
2:40(HRS and 30 minutes) wachangiaji ni wanne tu[emoji848][emoji57] kweli Bongo waletee umbeya wa habari mbaya au ngono ndipo utawajua vizuri [emoji23][emoji119]
Kuna wakati wadau as me sipo online kuchangia kutokana na mapambano ya maisha na kutafuta shs ya kununulia bundle.

Mada great kama hii unaweza kuona wadau tumeipotezea ila baadaye sana inapata wasomaji wengi hata kama komenti hamna.
 
Kweli kabisa, lakini si unaona maendeleo ya huu uzi tangu leo asubuhi hadi sasa hivi [emoji848][emoji1787]
 
Kama hakuna mzungu hapo mje mnikamate nimekaa pale hivi vichwa vya wabongo mda wote vinawaza kimasikhara tu ndo vifanye peke yao.
 
Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia. Nilijua hili litatoke​

Sasa wote wamefariki dunia. Sijui walijua wanatenganisha panda hao madaktari! Au walikuwa wanatafuta umaarufu!!
 
Sasa wote wamefariki dunia. Sijui walijua wanatenganisha panda hao madaktari! Au walikuwa wanatafuta umaarufu!!
mimi bado najiuliza sana maana walisema baadhi ya viungo wana share sasa sijui yupi walimwachia kipi na yupi walimuondolea...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…